Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Utasikia Vitz hamna kitu 😅
30,872 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

@privaldinho @shaffihdauda1 @FKihamu @SportsarenatzTz ukimuuliza alikuwa anawahi nini, utasikia nilikuwa nawahi tamthilia 😂

@privaldinho @shaffihdauda1 @FKihamu @SportsarenatzTz This is insane ... Dangerous... How serikali inaangalia hizi mambo hadi watu wapoteze maisha ndo mchawi atafutwe.... Wtf 😒

@privaldinho @shaffihdauda1 @FKihamu @SportsarenatzTz Hapa kama sio DIT😂… sijui

@privaldinho @shaffihdauda1 @FKihamu @SportsarenatzTz Hiyo siku kuna muhuni alibanwa na mlango akaanza kurusha matusi kwa dereva, wakaanza kumcheka gari zima.😂

@privaldinho @shaffihdauda1 @FKihamu @SportsarenatzTz Hcho kisigino cha @jeffliquidator mbn😅

@privaldinho @shaffihdauda1 @FKihamu @SportsarenatzTz Hiyo milango Ina nguvu lakin leo imekutana na kitu cha kipekee

@privaldinho @shaffihdauda1 @FKihamu @SportsarenatzTz N ist yako kutoka gerezani kufika mbezi utatumia masaa ma3 mwenzio n mwendokas nususaa chagua wew

@privaldinho @shaffihdauda1 @FKihamu @SportsarenatzTz Utasikia passo sio gari shenz kbsa 😆

@privaldinho @shaffihdauda1 @FKihamu 😂😂

@privaldinho @shaffihdauda1 @FKihamu @SportsarenatzTz Kwaiyo kisigino kilikaa nje hadi kituo kinachofuata 😂😂😂😂

