Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Uzuri ya kuishi Rongai 😂😂
336,996 görüntüleme • 2 ay önce •via X (Twitter)
38 Yorum

Mpishi anaosha vyombo jikoni!

😂😂

Hakuna haja ya housegirl aki

😂😂

Una adopt a whole family kazi ni kununua ndizi na kuwaachia vyombo 🤣🤣🤣🤣🤣

Rongai is where it all goes down😂 Hata simba wanajua🤣

Hii nayo ukiwa bachelor umepona ,,,, kazi yako ni kupanga tu vitu kwa sink

Nikiwa hapo MMU niliacha kama sijafunga nyumba nikapata huyu mnyama ashanioshea viatu na akaekelea Michele kwa Gas

Amalizie vyombo alafu aoshe laptop

Sasa serikali ilipandisha househelp salary, wakenya nao ni nani, wanatafuta alternative. Free labor.

December 2020 i was vacationing somewhere in coast and my makeup kit went missing from my hotel room nikaambiwa it's the monkeys since I left the windows open. Sijawai buy hiyo story but today I might🤣

Wacha nikamate watoto wa huyu waingie job

I think hii monkey ni ile imezoea kukam along side this house so ameamua kusurprise the owner of the house

Hapa bachelors wanaeza skia poa sana unapika tu unapata viombo zimeoshwa😂

You get to use nganya every morning and get to work in 25 mins max.

😂ona naniii. Rongai ukiiacha maringoo hivi...

Sasa hii vyombo inaoshwa 🤣🤣

me waiting for it to finish so that i can fire my mboch

Hii Ugali man anakula vizuri Sana.

Kwa site dis shits ziligonja nkatoa ugali Kwa Moto,I tell kuingia ndani npik kitunguu😳,nliskia kungulu wameagusha sufuria na kuepa na ngima💔

😂😂

Ngoja ilete na isahau nguo ya ndani bahati mbaya, utaitana

🤣🤣🤣

Your roommate finally contributes.😂🤌

Huyo ni msee ametumwa na mkamba akusaidie😂😂😂

Mnaoshewa vyombo na monkey crazy 😧 🤣

Alafu Simba inakuwa watchmen

@LukstarM

@LukstarM 😂😂

Sema tu ni nyani upate ni mother-in-law

Is this real? Crazy 😆

This are human beings who don't want to pay tax!

Nish sister to kadra come and confrim this 😂😂

😅😂

With it's back ends in the dish washing water😬🥺

@NalwaKE Hivi ndio zilifanyia @wakilinaph akajipata kwa shida. 😂

Unafika kwa nyumba unapata boxer ndo ilikuwa inaisha hizo viombo😅😅💔

Oyaaa mzee😆😂😂
