Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Vaibu la Tamisemi.

16,851 просмотров • 3 лет назад •via X (Twitter)

Комментарии: 8

Фото профиля Stephen Kipiki
Stephen Kipiki3 лет назад

Tamisemi ni hivi 🔥🔥😀

Фото профиля dikii
dikii3 лет назад

Hizi ndo nyimbo za shule sasa😁

Фото профиля Iko_Wazi
Iko_Wazi3 лет назад

Na awa wafungiwe washushwe vyeo wanacheza mda wa kazi😂😂😂

Фото профиля Dr
Dr3 лет назад

@ZakayoMmbaga imefanya nn tamisemi brooo

Фото профиля Albon Hans~junior
Albon Hans~junior3 лет назад

😄

Фото профиля 2j the boy
2j the boy3 лет назад

Wamefanyaje tena mbn mnatutisha

Фото профиля Aliyah
Aliyah3 лет назад

@RashdaZunde

Фото профиля Kebambae
Kebambae3 лет назад

@TweetHelperBot dowload this video

Похожие видео

MUDI Mchengerwa na OR-TAMISEMI, huu mliofanya ni UDUANZI. Hizi takwimu mnampikia nani? Mnaharibu uchaguzi kwanini? Sensa ya watu na Makazi 2022 idadi ya watoto (miaka 0-18) ni 31,040,164. Hawapigi kura hawa. Miaka 0-4 ni kundi kubwa zaidi likifuatiwa na kundi la watoto wenye umri miaka 5-9 na hii ni kwa mujibu wa takwimu za sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022. Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi 2022 Jumla ya watu Tanzania ni 61,741,120. Ukitoa jumla ya watu wote na idadi ya watoto unabaki na watu wazima 30,700,956. Watu wanaostahili kupiga kura kwa mujibu wa sensa yenu ya mchongo ya watu na makazi 2022 ni 26,597,464. Waliojiandikisha kupiga kura ni watu 31,282,331 Kwamba OR-TAMISEMI wameandikisha wapiga kura katika daftari la mkaazi kupiga kura uchaguzi Serikali za Mitaa zaidi ya idadi ya watu wazima katika SENSA? Mohammed Mchengerwa na Ofisi ya Rais - TAMISEMI mnasema watu 4,684,867 wamepanda umri kutoka kwenye watoto ndani ya mwaka mmoja na ushee? Kwamba Mudi Mchengerwa na Ofisi ya Rais - TAMISEMI wanasema Dar es Salaam wamejiandikisha wapiga kura 3,483,970. Huu ni UTAPELI wa mchana kweupee. Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 inaonesha Dar es Salaam ina jumla ya wakazi 5,383,728. TAMISEMI wanasema zaidi ya nusu wamejiandikisha kupiga kura. Mmefanya upumbavu mkubwa. Watoto wa shule wenye miaka 14 mmewaandikisha katika daftari la mkaazi na kuwapa umri wa miaka 33. Huo ni zaidi ya UDUANZI. Lakini tuwaeleze tu, uchaguzi wa Serikali za mitaa, tutashiriki na ninyi vizuri tu, vumbi itaruka huko katika mitaa yetu. Hatukubali luwa wanyonge. Hili muelewe. Brigedia, Martin Maranja Masese, Mtikila.

Martin Maranja Masese

46,269 просмотров • 2 лет назад