Sensitive content

This media may contain sensitive content.

Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Vawulance🧨🧨🧨🔥🙌🏿😂

330,835 просмотров • 3 лет назад •via X (Twitter)

Комментарии: 8

Фото профиля Homby 🇹🇿
Homby 🇹🇿3 лет назад

Wanawake wengi wa hivi hawajawahi kupendwa vizuri au wamekosa Upendo wa baba na wamelishwa sumu na mama zao, ukifwatilia kiundani unaweza kukuta mama ake na baba ake walitengana. TRUST ME and am sorry sio wote wapo hivo but ni 90%.

Фото профиля P'site Shio
P'site Shio3 лет назад

Ndugu Watanzania, muwe na uhakika huyu mtoto ni uzao wa Shetani Yani huyu dada anamsaidia shetani kazi. Nimeandaa biblia tayari kama Kuna mwenye mashaka 😂😂😂😂

Фото профиля Ntibha Jackson🎙️
Ntibha Jackson🎙️3 лет назад

Kwa jinsi maziwa yalivyo lala hakika amepitia mengi lazima ateme sumu 😁

Фото профиля Jalilu Zaid
Jalilu Zaid3 лет назад

Sasa kama hataki kujihusisha na wanaume mbegu zetu anaenda kutafuta za nini? Si atafute hata za mnyama basi.😅

Фото профиля W I L B E R T
W I L B E R T3 лет назад

Hataki kubanwabanwa ili apeperushe bendera ya umalaya kwa sana.

Фото профиля Shayo E.M.
Shayo E.M.3 лет назад

Baada ya kuumia chini sana,sasa unaumia akili na kichwa kmmk😂😂😂

Фото профиля La vida es bella!
La vida es bella!3 лет назад

Mh huyu kuna mawili labda kaumizwa sana moyo umegoma kupona au hana akili 🙌🙌

Фото профиля Mbokoto Maganga
Mbokoto Maganga3 лет назад

Kwaiyo Mama ake nae alifanya ivyo ivyo! Kwa hii hali tunayoenda nayo ya kila kitu kuiga kutoka kwa Wazungu, itafika siku tutajikuta wote tumepotea na atujui tulipo.

Похожие видео