正在加载视频...
视频加载失败
Vibe kama loteeee. Arusha.
10 条评论

Johnsonsaria Saria2 年前
Kiukweli Kuna wanaotaman kujiunga na hiyo movement sema system 😁😁😁itapita na vichwa vyao

Fetty Wakuache2 年前
🥰🥰🥰

Emmathias2 年前
Mbarikiwe sana, nipo njiani natokea Moshi nakuja hapo

Quantum2 年前
Wanaosema Arusha hakuna watu wana wasiwasi sana. Ogopa mtu anaekimbia bila kukimbizwa😂

Lelonho El Padrino2 年前
Nakubali 👏😋 huu ndio uzalendo kwa Taifa

wise mumy@shama'skitchenet2 年前
Thats my brothers mmetisha watu wa Mungu

time zone2 年前
Mme wa Aunt kachangamka

mmeru2 年前
People power nawasubiria apa mianzin

#MTB🌍, MD2 年前
Sema mmejaza nyomi la kutosha hongera wazee✊🏿

Myunani2 年前
Imebamba bob
