Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

108,749 views โ€ข 3 years ago โ€ขvia X (Twitter)

9 Comments

Rogers Masahi(Jr)'s profile picture
Rogers Masahi(Jr)3 years ago

Sema hii sio sawa na haileti picha Nzuri kwa upande wa Sekta ya Elimu na Nidhamu kwa Jamii yetu sasa hapa Inabidi Hatua kali za kisheria na nidhamu zichukuliwe dhidi ya mhusika wa hii video akiwemo Director na wengine๐Ÿค @TCRA_Tz Fanyeni kazi yenu vizuri sio kufungia nyimbo tu

Yusuf Graphics's profile picture
Yusuf Graphics3 years ago

na hata wanafunzi wakiona hufanya hivyo hivyo mashuleni

SEVEN's profile picture
SEVEN3 years ago

Nilitaka kukemea ila uvumilivu ukanishinda ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Jeff's profile picture
Jeff3 years ago

Aya maviuno nimeishia kuyaonaga kwenye tv na clip tu ๐Ÿ˜‚

Mjumbe mkuu_official's profile picture
Mjumbe mkuu_official3 years ago

Waliruhusiwa na Waliambiwa Kama unatamani wanafunzi kamshonee mkeo uniform Ila usiguse wanafunzi wetu, naona wale wote waliokuwa wanataman wanafunzi wamefanya yao sasa

Mhode_dr's profile picture
Mhode_dr3 years ago

Maisha magumu punguzeni ushauri ๐Ÿ˜

Fundi Simu's profile picture
Fundi Simu3 years ago

@captainpapilon utakuta kuna mjinga atawatag @wizara_elimuTz

Breshi...๐Ÿ˜Š's profile picture
Breshi...๐Ÿ˜Š3 years ago

Hii haikubaliki kummake

Garnet's profile picture
Garnet3 years ago

ANGELAUMU AU KUILETA WA UPANDE FLANI HII VIDEO SASAIVI AGELITUKANNWA HUMU NA KWA KUAMBIWA YEYE NI MSHAMBA NA HAYO NI MAMBO YA KAWAIDA MASHULENI, LAKINI KWA SABABU NI MALKIA NYUKI HIO NI SAWA TU AUSIO ๐Ÿ˜

Related Videos