Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

136,887 Aufrufe โ€ข vor 1 Jahr โ€ขvia X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Waltz
Waltzvor 1 Jahr

unalalamika nini sasa wakati dodoma ni ya wagogo na sifa ya wagogo ni ombaomba sijui nataka kusemaje

Profilbild von Sota Black
Sota Blackvor 1 Jahr

Sunrise - Morgan Wallen Chopped & Screwed By Sota Black. Listen Here

Profilbild von Abdul Rahman
Abdul Rahmanvor 1 Jahr

Sisi wakaka wafupi wa dodoma na tusiovaa vipensi tena tunaishi huku chuo cha hombolo hatuhusiki na tuhuma hizi๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Profilbild von Malaika
Malaikavor 1 Jahr

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚huyo sasa haelewi nini hapo, hajapendwa ni kaonwa anajishughulisha

Profilbild von Cuthbert Sweetbert
Cuthbert Sweetbertvor 1 Jahr

Si anataka wakaka wanaonukia? ndio kunukia kwenyewe huko sasa, akija dereva bajaji na upendo wa kweli ili muanze maisha mnaona kama uchafu aya sasa ๐Ÿ˜ƒ

Profilbild von Md marx
Md marxvor 1 Jahr

bora hata hiyo kuna hii ya wadada anakupa zawadi ya 50k unasema nimepata dem ila baada ya wiki demu anakuja na shida ya 600k .oya wadada saiz wamekuja na hiyo mbinu kubabake huchomoki ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Profilbild von Sabas Sebastian Del Piero
Sabas Sebastian Del Pierovor 1 Jahr

Kumbe ule usemi wa mkuki ni mtamu kwa pig bali ni mchungu kwa binadamu ni kweli, mnavyotufanyiaga wanaume tukianza mahusiano na wa dada ndio hicho ulichokipata mkaka wa Dodoma, ila mi si shangai mkaka wa Dodoma anaendeleza tabia ya Legend matonya ya kuombaomba ๐Ÿ˜‚

Profilbild von Bro La Mbezi๐Ÿง”
Bro La Mbezi๐Ÿง”vor 1 Jahr

Binti mwenyewe mbovu unasaidiwa kwa kuombwa hela unapiga miruzi mingiiii ๐Ÿ˜

Profilbild von John Kyara ๐Ÿ—ฟ
John Kyara ๐Ÿ—ฟvor 1 Jahr

Women will complain about choices they have made out of either desperation or stupidity, sometimes even both. Unakuwaje serious na mwanaume mnayeshindana kuacha mapaja wazi nje! ๐Ÿ˜…

Profilbild von PHONES AND GADGETS
PHONES AND GADGETSvor 1 Jahr

Huyu amekutana na vijana wa Dar wakiwa Dodoma,sisi vijana wa Dodoma ni wachapa kazi na hatuna hii tabia,shutuma hizi zipuuzwe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Profilbild von Eng Msaki
Eng Msakivor 1 Jahr

@Pastore_Tz @YusuphMwafrica @AmourGingi nyie si miongoni mwa wakaka wa dodoma๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

ร„hnliche Videos