正在加载视频...

视频加载失败

Vijana wa Dodoma Matopeni.😂😂

136,898 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

Waltz 的头像
Waltz1 年前

unalalamika nini sasa wakati dodoma ni ya wagogo na sifa ya wagogo ni ombaomba sijui nataka kusemaje

Sota Black 的头像
Sota Black2 年前

Sunrise - Morgan Wallen Chopped & Screwed By Sota Black. Listen Here

Abdul Rahman 的头像
Abdul Rahman1 年前

Sisi wakaka wafupi wa dodoma na tusiovaa vipensi tena tunaishi huku chuo cha hombolo hatuhusiki na tuhuma hizi😃😃😃

Malaika 的头像
Malaika1 年前

😂😂😂huyo sasa haelewi nini hapo, hajapendwa ni kaonwa anajishughulisha

Cuthbert Sweetbert 的头像
Cuthbert Sweetbert1 年前

Si anataka wakaka wanaonukia? ndio kunukia kwenyewe huko sasa, akija dereva bajaji na upendo wa kweli ili muanze maisha mnaona kama uchafu aya sasa 😃

Md marx 的头像
Md marx1 年前

bora hata hiyo kuna hii ya wadada anakupa zawadi ya 50k unasema nimepata dem ila baada ya wiki demu anakuja na shida ya 600k .oya wadada saiz wamekuja na hiyo mbinu kubabake huchomoki 🤣🤣🤣🤣

Sabas Sebastian Del Piero 的头像
Sabas Sebastian Del Piero1 年前

Kumbe ule usemi wa mkuki ni mtamu kwa pig bali ni mchungu kwa binadamu ni kweli, mnavyotufanyiaga wanaume tukianza mahusiano na wa dada ndio hicho ulichokipata mkaka wa Dodoma, ila mi si shangai mkaka wa Dodoma anaendeleza tabia ya Legend matonya ya kuombaomba 😂

Bro La Mbezi🧔 的头像
Bro La Mbezi🧔1 年前

Binti mwenyewe mbovu unasaidiwa kwa kuombwa hela unapiga miruzi mingiiii 😁

John Kyara 🗿 的头像
John Kyara 🗿1 年前

Women will complain about choices they have made out of either desperation or stupidity, sometimes even both. Unakuwaje serious na mwanaume mnayeshindana kuacha mapaja wazi nje! 😅

PHONES AND GADGETS 的头像
PHONES AND GADGETS1 年前

Huyu amekutana na vijana wa Dar wakiwa Dodoma,sisi vijana wa Dodoma ni wachapa kazi na hatuna hii tabia,shutuma hizi zipuuzwe 😂😂

Eng Msaki 的头像
Eng Msaki1 年前

@Pastore_Tz @YusuphMwafrica @AmourGingi nyie si miongoni mwa wakaka wa dodoma😂😂😂

相关视频