Loading video...
Video Failed to Load
Vipi Wanao Mnachekiana?
11 Comments

Wana waliniambia watanicheck. Sijawah waona wakinicheck tint tu dark vioo juu kama watakavyo

- All I Knew

kazi nzuri kaka, sema kwenye production hili eneo lote hatukutakiwa kuliona! subject ulipaswa ujae kwenye frame nzima labd kama kuna kitu ulitaka kutuonyesha! then transitions sio lazima zitumike, kwenye inspiration video kama hii hakukuwa na haja ya kusplit ili uweke transitions

Nashukuru Kwa Ushauri Mkubwa Mimi Niliona Nisikariri Tu Kaka Namna Wengine Wanafanya. Pia Hayo Mengine Ni Yakitaalam Sana Sababu Naendelea Kujifunza Nitajitahidi Kunoresha. NIMEPOKEA MKUU 🙏🏽

Walishaniambia watanicheki 😃.

Hakuna hata mmoja,maisha ni fumbo TATA

👍

Aisee 🙌

Urafiki mgumu aisee nilishaukataa baada ya marafiki zangu wawili kuwa na haraka ya maisha.

Hiki Kipindi kinaitwaje?

Waliosema ulaya kuna upweke mkubwa sana,sasa naanza kuelewa

