Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

35,369 görüntüleme • 11 ay önce •via X (Twitter)

0 Yorum

Yorum bulunmuyor

Orijinal gönderinin yorumları burada görünecek

Benzer Videolar

CCM na Polisi ni wakatili sana, wamekwenda kwenye nyumba ya mtu kama Machinga ( nadhani sasa tuwe makini na machinga kuingia ndani) wamemuuzia mashuka kumbe wanasaka uhai wa mwanae Wakauza mashuka hapo bila aibu kisha wakamkamata kijana wake, anauliza anapelekwa wapi kwa kosa gani hakuna majibu wanasukumwa. Polisi amekwanda kuripo wanamzungusha tu hakuna polisi wamefungua file wala kufanya upelelezi, hii ilitokea kwa utekaji wa David Djumbe pia polisi walianza zunguka kuhusu kufungua file Leo Mwigulu anaambiwa kuna utekaji anamwingilia huyu mama asitoe story yote anauliza maswali katikatika ya maelezo kumchanganya, kwa nini hakutaka amalize , baada ya maelezo mengi ya mama, Mwigulu ajajipiga kifua kusema ana cheo kikubwa, alichofanya ni kusema RPC nenda kamsikilize andika maelezo, Mwigulu akumuuliza RPC kama anaijua hiyo kesi, wala OCD hakuulizwa kwa kifupi alikwepa kabisa kuuliza chochote kwa polisi, anaongea kama amemwagiwa maji maana wiki iliyopita alikuwa anasema kwamba wanaoteka watu ni michezo , ni nchi zisizotupenda na watu wasioipenda serikali na walimpiga risasi mpaka kiongozi wa kisiasa. CCM imegoma kabisa kuacha utekaji ndio maana wanavuta miguu kila wanapoumbuka. cha ajabu wanaokwenda ongea kutoa kero unaona wanahojiwa na mtu kabla ya kutoa kero, kwa nini wasiache watu waongea mambo yao yanayowasumbua mpaka kuwe na mchujo wa nini cha kuongea ? kwani nani amewalamisha kusikiliza wananchi? #ChangeTanzania #KatibaMpya

Think Different

13,434 görüntüleme • 2 ay önce