Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Vuli'Ndella
9 Yorum

Latto 𝕏1 yıl önce
Timothy kuna kitu unatafuta 😂😂😂😂🙌 Nimecheka sana alivyoimba Diamond.. Haya mwangalie Diamond, kisha mwangalie Alikiba.. Video kwa Comments 👇

Latto 𝕏1 yıl önce
Wema Mkomboziii 😂😂

Latto 𝕏1 yıl önce
Ila hapa alikua anajiimbia tu 😂😂🙌

Kelvin Ayoub1 yıl önce
Ngoma inanikumbusha harusi ya dada nikiwa class 4 back in days 2001

Uncle P1 yıl önce
@StreamviDL

Badger1 yıl önce
Kumbe inamaanisha hicho.... Leo nimejua lazima dogo avute jiko🤣🤣

NDEGE TUNDUNI_Jr1 yıl önce
Kunabaadhi ya melody zimesikika kwenye wimbo Wa davido

Hamble girl1 yıl önce
Haaa! Kumbe ndo unamaana hiyo Maskini mimi jamani🙉, Basi me nilikuwa nasikia ukiimba Vulindela Yesu Mkombozi😂😂😂🏃🏃

psychohub1 yıl önce
Message ya huu wimbo naipenda snaa
