Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Waafrika sisi aisee Dunia nzima sifa yetu moja
22,036 görüntüleme • 5 gün önce •via X (Twitter)
22 Yorum

@mchiziMonie Unafika nchi zenye fursa za kila aina, nchi ambazo juhudi na skills zinaweza kukupeleka mbali zaidi…ila unaamua kukimbizana na polisi kwa kuuza uza vitu feki. We are cursed😆😆😆. Sema labda hawana makaratasi ya halali ya kuwawezesha kupambana kiusahihi.

Ngumu sana kumtetea mtu mweusi😁

Kaka unamkosea watu wanatafuta ugali. Hao ndo wametuibia wanasababisha ugumu wa maisha kwa Waafrika wengi. Acha Wana wapige michuzi we endelea kushamgaa majengo na kuzurura wenzako wanatafuta maisha. Watu wanafamilia zinawategemea unamkosea sana mkubwa. Hao ni wenzako sio kwenu

Utaratibu hatuuwezi!

Paris ndio mbaya zaidi, we’re a cancer

Bora Yao wanazingua ivo ambae ni kosa haya hao weupe kuna wauwaji kuwazidi ?

Alooo

Msenge mwenzako anaongea ongea tu, hao wateja wao ni nguruwe? Hujawaza kuwa kuna wazawa hawawezi kuafford original jersey’s kwa hiyo hao jamaa ndio wanawaokoa?

Nenda Italy sasa utachoka mwenyewe 😂

Nywele ngumu tuna tabu sana.

Washaenda kuchafua miji ya watu🙌🙌

Mnaenda kuchafua miji ya watu

Mtu mweusi ni TakaTaka

Mtu mweusi Toka wapi?

@grok hapo yupo mji gani?

So sad

Hapo hujafika Ufaransa

Bora kuliko biashara y utumwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 acha wakichafue tu

Upo mji gani hapo?

Mitumba

Wamezipata wapi hizo Jezi? Walitoka nazo Africa?

😀😀😀
