Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Wacha weee!
83,636 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)
9 Yorum

Daktari Wa Manesi 💉💊2 yıl önce
Aishi Manula yupo injury 😀

Prince Katunzi2 yıl önce
@TonsoJ Haka ka nyimbo kasikukute upo maji 😂😂🔥

Zwangendaba wa Majimoto2 yıl önce
Kwa jinsi alivyo nakumbia kabisa "Ni kweli mapenzi yatamuua"

Tolu Munyama2 yıl önce
Huyu jamaa lazima kabla ya kuingia ukumbini aligonga nyagi afu ukumbini akawa anasukuma serengeti Lite

Unc Jerome 👤2 yıl önce
Jamaa ametuangusha sana wazee wenye ndevu

HUGO2 yıl önce
Hatari sana, anaishi maisha yake kwa furaha hadi raha

Pri〽️e2 yıl önce
uyu mwamba anaonekana kabia kawaka konyagii😂😂

BAMSI2 yıl önce
Vibe kali sana sema kama kipa katoka hivi

Kamamaa2 yıl önce
Yupo mionzi kinoma 😂😂😂
Benzer Videolar
3:15
Sensitive content
Fear is Gone!!Rais Wacha Upumbavu wacha Wakenya Wakohoe!Gachagua ako na Wakenya!Kamamega Man!
Mutembei TV
45,473 görüntüleme • 1 yıl önce
