正在加载视频...

视频加载失败

83,636 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)

9 条评论

Daktari Wa Manesi 💉💊 的头像
Daktari Wa Manesi 💉💊2 年前

Aishi Manula yupo injury 😀

Prince Katunzi 的头像
Prince Katunzi2 年前

@TonsoJ Haka ka nyimbo kasikukute upo maji 😂😂🔥

Zwangendaba wa Majimoto 的头像
Zwangendaba wa Majimoto2 年前

Kwa jinsi alivyo nakumbia kabisa "Ni kweli mapenzi yatamuua"

Tolu Munyama 的头像
Tolu Munyama2 年前

Huyu jamaa lazima kabla ya kuingia ukumbini aligonga nyagi afu ukumbini akawa anasukuma serengeti Lite

Unc Jerome 👤 的头像
Unc Jerome 👤2 年前

Jamaa ametuangusha sana wazee wenye ndevu

HUGO 的头像
HUGO2 年前

Hatari sana, anaishi maisha yake kwa furaha hadi raha

Pri〽️e 的头像
Pri〽️e2 年前

uyu mwamba anaonekana kabia kawaka konyagii😂😂

BAMSI 的头像
BAMSI2 年前

Vibe kali sana sema kama kipa katoka hivi

Kamamaa 的头像
Kamamaa2 年前

Yupo mionzi kinoma 😂😂😂

相关视频