Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Waha ni wazee wa mteremko..🙄😂😂
16,336 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 9

kigoma mabegan😎1 год назад
Oyaaa mzeee kuwa na adabu na dada zetu😁, ndara buku ten🤣 huyu muha wa titwe🤣🤣🤣

Rock Paper Sizzle1 год назад
💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

SÍLLÄ1 год назад
Yaani nikukute upo kumuhoji mdogo wangu maswali hayo naweza nikuzibue

Himself🇧🇷1 год назад
Sijui kwanini mna entertain huu udhalilishaji

mox mshishi 🦉🇹🇿1 год назад
Ukhty @queeen_minah una jambo la kujifunza hapa katika make up 🤝😁😂

Eng. Matemu1 год назад
Tsh 31,500/= wazee inatosha kabisa mtoto wa kigoma kupendeza nimweke ndani, ngoja tufanye mipango Sasa.

Emmanuel1 год назад
Poda mzungu

JUMONG🇹🇿1 год назад
Huu ni uthalilishaji #haichekeshi

Mahundi1 год назад
🤣🤣🤣🤣🤣 halooo
