Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Waiba kuku!
28,734 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)
8 Yorum

Latto 𝕏2 yıl önce
Arusha KUMEKUCHA leo na madereva Pikipiki! Huku watu wachomwa moto kwa Kuiba KUKU! Huku wengine wachomwa moto kwa Kupora simu.... Alooooooo....🙆😢😢 Video kwa Comments👇🏾

Latto 𝕏2 yıl önce
Hawa wamepora Simu Arusha Alooo!!

Nelson Kileo•2 yıl önce
Hii habari Global wameiokota na kuweka heading isiyo sawa, hilo tukio ni la leo maeneo ya Kaloleni, nje ya bar maarufu Picnic na hao ni wezi wa simu/tatu mzuka not Kuku. ? 😀

Bahasha Fc aka UTOPOLO.2 yıl önce
Mtu kaiba kuku mnamchoma moto?

KINYWA CHA MZEE2 yıl önce
Walikuwa mirungi nimeona machanjio😁😁

Idrisa Juma2 yıl önce
Hawa wanapora simu kwa kutumia pkpk!. Sasa unatoa habar wameiba kuku

Agael Lucas2 yıl önce
Nimecheka machanjio😁

esmart2 yıl önce
They already raise their hands to surrender , why mna wahukumu hukumu nzito hivyo😞

