正在加载视频...

视频加载失败

Wakemia kazini 😂😂😂

266,006 次观看 • 3 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

DR. MJEMMAS 🇹🇿 的头像
DR. MJEMMAS 🇹🇿3 年前

Wakumbusheni pia kuwa dialysis sio tiba ya figo zikifa, na haikusaidii kupunguza sumu mwilini ila inakupa masaa ya zaidi kuishi.

Minja Jr 的头像
Minja Jr3 年前

Hakuna video ya baada ya kunywa tuone 😂😂😂😂

𝐁𝐚𝐥𝐨𝐳𝐢 𝐰𝐚 𝐀𝐦𝐚𝐧𝐢 TZ🇹🇿 的头像
𝐁𝐚𝐥𝐨𝐳𝐢 𝐰𝐚 𝐀𝐦𝐚𝐧𝐢 TZ🇹🇿3 年前

Tunaomba pat 2 yake tafadhali

FAZA 💥 的头像
FAZA 💥3 年前

🤣🤣🤣🤣 Hakufa mtu kweli?

Jacob P. Laizer 的头像
Jacob P. Laizer3 年前

@benniMeku Maini lazma yameiva

kayomboF 的头像
kayomboF3 年前

Wakimaliza kunywa hv baada ya muda ndio wanaweka namba tuchangie matibabu ya Figo zmefeli

Ela Lemes 的头像
Ela Lemes3 年前

They should make sure wana health insurance strong, sio zile za kununua vifurushi...preparation for future hospital visits

Eric Mattaba 的头像
Eric Mattaba3 年前

Hiii huponi

Jacob P. Laizer 的头像
Jacob P. Laizer3 年前

Huwezi pona kwa namna yeyote ilee

Mr samaki & cosmetologist. 的头像
Mr samaki & cosmetologist.3 年前

Wakemia wa kuua miili yao mdogo mdogo 😁😁😁 weather kwa kukosa maarifa au kwakuwa wapumbavu kwa kutengeneza sumu😭😭😭 HURUMA sanaa tusaidiane vijana kwa kupeana maarifa kwamba pombe haikomolewi😁😁

相关视频