正在加载视频...
视频加载失败
Wakishua mpo ??
50,362 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
11 条评论

Wamuhira1 年前
Mm nilipewa mashuka mawile yale ya kibirizi ya kufumwa😂😂😂

Masaki1 年前
😂😂

Solar Heavy1 年前
whoa have you heard this song?

Joka La Mdimu1 年前
Haya mambo haya😂 tuliwahi tangaza kwenye harusi ya bro kuwa familia tumemnunulia bro ng'ombe wawili mmoja jike ana mimba kabisa ya miezi mitano mwingine ni dume, baada ya sherehe kuisha bro akauliza zawadi zangu vp? Tukamwambia tulie wewe, tutoe michango na zawadi tukupe?😂

◇1 年前
Maigizo huwa yapo ya namna nyingi sana!! Akili za kuambiwa....

Gabbar singh1 年前
oh sisi tunaletewa vyombo na mashuka ya kigoma😂😂😂😂

Aloyce Jackson1 年前
Kmmk dah sema hao wazee ndo sisi sasa kwny kujitafta wtt wetu watakua wa kishua....

Nyoka Longo1 年前
Mshua Ngowi mwenye filling stations za Ester

Ze Planmaster1 年前
Noma sana

Masta Plan🇹🇿1 年前
Aaaahh qmmk wanatupanga awa

Elinami Lyatuu1 年前
Alafu ukishatoboa milioni 100 sio hela tena
