ะะฐะณััะทะบะฐ ะฒะธะดะตะพ...
ะะต ัะดะฐะปะพัั ะทะฐะณััะทะธัั ะฒะธะดะตะพ
Wakurya hii ni kweli.??๐ณ๐ณ
93,036 ะฟัะพัะผะพััะพะฒ โข 1 ะณะพะด ะฝะฐะทะฐะด โขvia X (Twitter)
ะะพะผะผะตะฝัะฐัะธะธ: 11

Inaitwa nyumba ntobu, anaolewa mwakanamke ila ni mali ya wahuni/mtu aliye teuliwa na ukoo kumuoa huyo mwanamke kwa niaba ya familia ile wanaichapa wakizaa watoto ni mali ya mwenye mji sio mchapaji.

๐บ๐ธ One Nation, under Trump, Stronger THAN EVER. Are you Trump Tough? ๐ชTough T's Here:

Nyumbantobu,mwanamke anakuwa na mali lakini hakubahatika kupata mtoto anatafuta Binti anamtolea mahali anamruhusu kuzaa na mwanaume ila mtoto akipatikana anakuwa wake ili arithi mali..Mara nyingi unakuta ni mwanamke umri umekwenda na mali anazo!!wakurya wanaweza kuelezea vizuri

1. Nyumba ntobhu Mwanamke aliyekosa mtoto wa kiume analetewa bint wa kuendeleza kizaz chake 2. Nyumba mboke Mwanamke tasa, analetewa bint kuendeleza kizaz chake 3. Nyumba tunu.Mama ana mtoto wa kiume taila au au alikufa before kuoa, huletewa bint kuendeleza kizaz chake

Hii ipo.. inaitwa nyumba ntobhu

Ayo tunakuheshimu hizi mambo umeanza lini bro,,,,uwe unafanya nao usahili kwanza ndipo unawaleta huku sasa ndo nini mwanamke aoe mwenzie ndipo wapate mtoto huu upuuzi atakuwa kalipwa aje kuhamasisha usagaji kenge maji huyu

Tumiaga akili kwanza Unatia aibu ukoo wenu hebu sikiliza na angalia hiyo video then uje na majibu sawa?!

wakuriya wanaita nyumba ntobu ukoo unakutafutia mtu anapiga show lakin watt wanakua sio wake....n sawa na kijana ukifa hujazaa tunatafuta mwanamke anakaa hom watu wanapiga tunasema n watoto wa marehem...karibuni mara

Sio Wakurya tu, hiyo ni mila ya zamani hata kwenye Biblia imeandikwa mara kadhaa Mwanzo 30 na rejeo zengine.

Mila za kipumbavu kabisa ambazo hautasikia wanaharakati a.k.a mafeminist wakizikemea. Ila binti aliyekomaa kabisa miaka 18 wa form 4 akitolewa mahari aolewe na yeye yupo wiling kuolewa watapiga kelele kama wamekanyaga moto.

Mbona kawaida sn kwa Wakurya. Wanaotukana hawajui kitu mwanamke tasa asiekuwa na mtoto bas asife akiwa hana uzao. Trud kwenye Biblia soma vizur Mwanzo 38 kuna story ya Onani. Kwaiyo n halal ata kibiblia. Wakurya mtu kufa bila uzao ni km laana na ndo kabila wanaolea bila kubagua
