Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

102,835 görüntüleme • 11 ay önce •via X (Twitter)

36 Yorum

kicheko profil fotoğrafı
kicheko11 ay önce

chuma baada ya ku-overtake dereva akashindwa kurudi kushoto inaonekana nafasi ilikuwa ndogo sababu mbele yake kulikuwa na gari nyingine

lunyembeleka profil fotoğrafı
lunyembeleka11 ay önce

Yan mark x, wag jin kwel kwel ukilikuta kifua kina oil safu,gear box haijguswa tapet utakua unaziskia tu. Mi ilishag nisumbua san, iringa dom.hawa majanja walijitungua sanaa aisee we ona hiy alphde ilivyo moto alaf wameipita chap.aisee

ZULUNATAL profil fotoğrafı
ZULUNATAL11 ay önce

Nimeicheki hivi video awa vijan naona walikua wamekunywa sna vileo

Comrade93. profil fotoğrafı
Comrade93.11 ay önce

Kizazi cha kujimaliza hichi.Kuna laana kubwa sana ktk kuishi kipumbavu siku izi Hawa ni mfano wa vijana wa ovyo sana karne hii

Kazura profil fotoğrafı
Kazura11 ay önce

Angeingia nyuma ya hiyo gari ndogo impact isingekua kubwa sana., ingekua m1v1-m2v2 lakini kulivaa basi ni m1v1-(-m2v2)

John Doe profil fotoğrafı
John Doe11 ay önce

Kuna watu ni wapumbavu sana Hako kademu kananing'inia juu na chuma inasoma 140 Dereva wa Alphard ange shika break ghafla kangekuwa ka 7 kwenye ile idadi Vifo vingine ni natural selection

#The Pride of Kilimanjaro,🗻 profil fotoğrafı
#The Pride of Kilimanjaro,🗻11 ay önce

Nimeangalia mar 5cjajua ni ipi imepiga mzinga

UMOJA WA HAKI ZA MADEREVA@🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇷🇼🇷🇼🥰🙏 profil fotoğrafı
UMOJA WA HAKI ZA MADEREVA@🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇷🇼🇷🇼🥰🙏11 ay önce

Ilienda kugonga hiyoo ngasere

ABDULSWAMAD profil fotoğrafı
ABDULSWAMAD11 ay önce

masela tunaokaaga siti ya nyuma ndo tunawapampugi madereva oya mpite huyo k*ma anatuletea dharau💔

Richard Marwa profil fotoğrafı
Richard Marwa11 ay önce

Mark x unaipiga mpaka 180 kph lakini gearbox inaendelea kuchange gia tu sijui kuna majini ndani

Crispin profil fotoğrafı
Crispin11 ay önce

Afu mtu anasikika akisema k*m* kaisha

Apostle Poul profil fotoğrafı
Apostle Poul11 ay önce

Mwanangu mark x huwa inakaa road kwa utulivu mkubwa sana kila ukipush unasikia raha tuuh

consultant physician profil fotoğrafı
consultant physician11 ay önce

Wamemuachia kikwapa ajifiche. Lakini siku ya kufa nyani, alie pitwa alikua na 160 alie mpita atakua ngapi? Wapumzike kwa amani

@herrykuwe profil fotoğrafı
@herrykuwe11 ay önce

Hamna kitu kibaya mna road kama ku overtake blindly.

MRENO_255 profil fotoğrafı
MRENO_25511 ay önce

Ilikua safari ya bata kumbe

Mjomba anko profil fotoğrafı
Mjomba anko11 ay önce

Hii noah ipo 150-160 Mark x lazima alilamba sahani ku overtake Poor handling ndio kilicho wa codt na miss calculation

𓏤𓏤𓇌 Daijō 𓀷𓋘𓋙𓁿𓂀 Daijin 🌌 𓁿𓋙 profil fotoğrafı
𓏤𓏤𓇌 Daijō 𓀷𓋘𓋙𓁿𓂀 Daijin 🌌 𓁿𓋙11 ay önce

Kuendesha speed Kali barabara zenye mawimbi ni kujitakia kifo na ulemavu

Son of Kilimanjaro🇹🇿 profil fotoğrafı
Son of Kilimanjaro🇹🇿11 ay önce

Mamae,jamaa walikuwa kwenye ligi,Mark X akataka kuonyesha yeye sio mzembe akaenda kupiga brek kwa Ngasere,kamaAlphard iko 150 inamaana wa Mark X alisoma 180-190,

Mwananchi wa Kawaida profil fotoğrafı
Mwananchi wa Kawaida11 ay önce

Huyo mdada anamkumbuka ya Rabi katikati ya Aviola😅😅

R a z a q u e y 🎮 profil fotoğrafı
R a z a q u e y 🎮11 ay önce

...chuma kilitupwa,kikatupika 🙌🏽🙌🏽 #SafiriSalama #EpukaOverSpeed...

Isack Mathew Ilamlila profil fotoğrafı
Isack Mathew Ilamlila11 ay önce

Aisee waliisha

Polsen Mjata🇹🇿 profil fotoğrafı
Polsen Mjata🇹🇿11 ay önce

Mtu akitaka kukupiti muache aende ligi nyingine hazina maana yyt.. Huyu dereve alkua kashapitwa sasa yeye anakanyaga kibati cha nini angepunguza mwendo ili mwenzie apate pa kuingi...

Ochu Mpwemuka profil fotoğrafı
Ochu Mpwemuka11 ay önce

Baada ya majanga ndio SubhanAllah, wakati yalikuwa matusi tu 🚮🚮🚮🚮

Haongatz profil fotoğrafı
Haongatz11 ay önce

Wamekufa kishamba na kizembe sana

om boi profil fotoğrafı
om boi11 ay önce

Bora ange jaa nyuma ya hio gari ndogo sio kufwata bus

Mwananchi wa Kawaida profil fotoğrafı
Mwananchi wa Kawaida11 ay önce

Kwnini huyu dreva hakumtahadharisha kwamba haiwezekani kuovertake?

kelvin cyprian kiwia profil fotoğrafı
kelvin cyprian kiwia11 ay önce

Tauche utane mark x ni jet ya chini

James Mwakalinga🥒 profil fotoğrafı
James Mwakalinga🥒11 ay önce

Ngasere ya mwanangu Jamal Msonde! Wapumzike kwa Amani waliotangulia!

KAMIMI 🐐 🕘 profil fotoğrafı
KAMIMI 🐐 🕘11 ay önce

Chanzo cha ajali nyingi ni mwendo kasi. Kama ni dereva utanielewa majanga mangapi tumekutana nayo sababu ya mwendo kasi. Ukiwa mwendo ukikwepa tu nzi unaimbiwa bonge la dada

SAVAGE MODE profil fotoğrafı
SAVAGE MODE11 ay önce

@Geeee_123

Zulu Natal profil fotoğrafı
Zulu Natal11 ay önce

Dereva inaonekana uzoefu ni sifuri

Miracle Buddy profil fotoğrafı
Miracle Buddy11 ay önce

Kumamake waseng walikuwaa waimbaa jaman aviolaaa gaflaaa subah Allah 😁😁

Mwidini_Z_Msang profil fotoğrafı
Mwidini_Z_Msang11 ay önce

Sijaelewa mpaka sasa alitegonga ni hawa wa video au ile Mark X iliyotoka nyuma

vijimambo profil fotoğrafı
vijimambo11 ay önce

Nasikia mmoja akisema subhanallah,,nyie kweli ni wazima mulewe muimbe mufanye uzinzi kwenye gari then RIP

Ole Runga profil fotoğrafı
Ole Runga11 ay önce

mhh...daaah, davoo kanikosea sana, mbn kama kwa kuiba iba angeweza kuibana

Eng.Harrison HR profil fotoğrafı
Eng.Harrison HR11 ay önce

Aise 🙌🏻

Benzer Videolar

akatsuki 🙁🙁🙁
0:24

Sensitive content

akatsuki 🙁🙁🙁

koii !

23,396 görüntüleme • 1 yıl önce