Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Waliofunga ndio wanaongoza kusema watu ๐Ÿ˜…

52,662 views โ€ข 1 year ago โ€ขvia X (Twitter)

11 Comments

๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ's profile picture
๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ1 year ago

Kulikuwa hakuna haja ya kujirekodi kama kweli ni muislamuโ€ฆ Hii ni dhihaka Kwa dini yetuโ€ฆ anabahati yupo Tanganyika! Zanzibar au huko nigeria asinge eleweka ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜€

FANCO's profile picture
FANCO2 years ago

NEW OFFICIAL COLLABORATION ALERT! Get your PERSONALIZED @Godzilla_Toho Japanese hanko stamps at for yourself, friends and family! #fanco #godzilla #GodzillaMinusOne ๐Ÿ‘‰

Ramzan Kadyrov๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ's profile picture
Ramzan Kadyrov๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ1 year ago

Binadamu tunajisahau kama tumeletwa duniani kuishi milele,Allah amuongoze ndugu yetu huyo...

MMBAX ๎จ€'s profile picture
MMBAX ๎จ€1 year ago

Huezi kuwa umeshiba alafu umseme mtu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

MIRIAM๐Ÿ’œ's profile picture
MIRIAM๐Ÿ’œ1 year ago

Kwani lazima ajirekodi kuonesha hafungi smh

Ally Hajj's profile picture
Ally Hajj1 year ago

Hata Kama hufungi Bora ukaee kimyaa... Sasa hapo unashindana na nani... Kwani nani kakuambia funga ni ya watu... Ili uwe muislam lazima uikamilishee hii nguzo ya kufunga ni lazima Kama unakula na Tena kwa kujisifuu huwezi ukawa muislam... Au unafunga kwa ajili ya kupata zawadi

๐“ค๐“ค๐“‡Œ Daijล ๐“€ท๐“‹˜๐“‹™๐“ฟ๐“‚€ Daijin ๐ŸŒŒ ๐“ฟ๐“‹™'s profile picture
๐“ค๐“ค๐“‡Œ Daijล ๐“€ท๐“‹˜๐“‹™๐“ฟ๐“‚€ Daijin ๐ŸŒŒ ๐“ฟ๐“‹™1 year ago

Huyu Jamaa kitimoto anakula na alifanya tangazo ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ shangwe Sana watu hawa.. wahabi na makundi Yao ya siasa kali hapa Tanzania hawafui dafu maana hamna wanazi wa dini

abudhabi's profile picture
abudhabi1 year ago

Ujinga nao mzigo unakupeleka pabaya

Ally Hajj's profile picture
Ally Hajj1 year ago

Hata Raisi wetu mama Samia anafunga 30, akina mo dewji baharesa gcm nk... Kufunga ni kujitakasa na kupata radhi kwa mola wako.... Siyo zawadi za watu mjinga weeee

Military Battalions's profile picture
Military Battalions1 year ago

Kila siku majigambo tu! Tutakuchoka kama mandonga

majir_jr's profile picture
majir_jr1 year ago

Dunia ni njia tuu ya kupita, tusijsahau sana

Related Videos