Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

29,014 views • 2 months ago •via X (Twitter)

0 Comments

No comments available

Comments from the original post will appear here

Related Videos

bodynya miraa🥵
0:15

Sensitive content

bodynya miraa🥵

hjb

63,838 views • 1 month ago

miraa dengan baju merahnya🥵
0:15

Sensitive content

miraa dengan baju merahnya🥵

hjb

44,680 views • 1 month ago

Dunia ina namna nyingi sana za kutupa experience ya maisha, Miezi kadhaa nyuma (December 13) nilipata changamoto, Wakati nimeenda Zanzibar kula mema ya nchi kdg na kufanya community meet-up gari yangu ilipata kipengele kdg - kugongwa na boda Tegeta, Bahati mbaya zaidi ilikuwa just a day before bima yangu ime- expire, na alogonga ni boda hata useme unasumbuana nae itakuwa ni kumuadhibu na hautofaidika chochote maana hawezi kuwa na pesa ya kutengeneza so haina haja Hii experience niliyoipata siku-share na ndugu zangu wa hapa X wala IG sababu ya ratiba na sababu nyingine flani flani, hiyo video ya kwanza hapo ndio siku nimetoka Zanzibar 🏝️ nimeenda kulifata police 1. Na hii ndio sababu huwa nasisitiza sana vijana wenzangu, ukipata pesa zako mwanzo usikimbilie kununua gari 2. Usichukue mkopo pia kununua gari 3. Kabla hujajijenga, ukawa na miradi ya kutosha na cashflow nzuri usinunue gari, Of course gari ya kawaida like ist, crown, etc unaweza kununua hata kama hujajipanga sana Nilikaa nikawaza bora mimi napigiwa simu gari imepata ajali nauliza tuu “hamna alieumia” nimejibiwa ndio nimeendelea na harakati zangu na kila kilichotupeleka Zanzibar tukakamilisha, Na nikaamua kutumia ajali kama fursa ya kutosha-upgrade kuweka bamper la mwaka wa mbele zaidi, rims kali, taa nzuri zaidi na vingine vingi ambavyo ni more advanced Lakini hiyo yote ni sababu najua tuu 10M+ ya kutengeneza gari sio kitu naweza kuwaza, Nika-imagine ingekuwa ni kijana ndo amepata withdraw tuu kanunua gari au biashara ndo imeanza kuchanganya tuu na yeye kajichanganya kanunua luxury car, angelipack week tatu au angeanza kusumbua watu,

AMRISALY

15,423 views • 1 year ago