正在加载视频...

视频加载失败

Wameanza Kutumia Njia Mbadala Sasa

67,589 次观看 • 2 天前 •via X (Twitter)

35 条评论

JK 的头像
JK2 天前

Watumie na risasi kabisa si ndio wanaona suluhisho la haraka !! Shida ya kuweka watu wasio na akili kwenye nafasi hii. Na nafasi nyingi sana zimeshikwa na watu wasiotumia akili

APT0⚡️ 的头像
APT0⚡️2 天前

Hivi polisi wana akili timamu kweli? 🤔

ZEE LA GLOVES🧤 的头像
ZEE LA GLOVES🧤2 天前

sema nchi hii polisi ni watu ambao ni km wamezuiwa kutumia akili

Big Meech 的头像
Big Meech2 天前

Hii inasaidia nn sasa wakuu

Eng.kissanga 的头像
Eng.kissanga2 天前

Inamaana wamechochea mgomo uwe kila siku apo ukute kufata namba unatoa helaa ila jaman nchi ya kisenge hii

Mangumba Lengesia 的头像
Mangumba Lengesia2 天前

Kwani nyie mapolisi mafala mking’oa hivyo vibao mnamuathiri vipi dereva aliyegoma?Kaeni navyo mtamalizana na wamiliki washamba nyie.

Eng.kissanga 的头像
Eng.kissanga2 天前

Wanatatua au wanaongeza tatizo mbona huu ni uzwazwa

Levocatus Mganga 的头像
Levocatus Mganga2 天前

Sheria ipi inawapa authority ya kutoa namba za magari ya watu ? Hii nchi ina usenge mpaka basi ,,mtu gari lake akitaka anafanya business au anapaki home ,,lkn kibaka @tanpol wanaona wapo na haki ya ku intimidate wamiliki,,KUMANINA CCM

Pascal G Madin jr 的头像
Pascal G Madin jr2 天前

Unashindwa kujibu hoja unatumia ubabe Serikali why????????

TEKU 🥇 的头像
TEKU 🥇2 天前

Hao madereva ndio wanamiliki hayo mabasi?

Magobe 的头像
Magobe2 天前

Wanachezea mali za watu zenye thamani juu kuliko hata career yao, hata baada ya retirement pension yao haiwezi nunua Value ya mali... Hiyo gut wanatoa wapi!? 😂

choma 的头像
choma2 天前

swali langu ni je Tiketi mlikatisha kama abilia walikata tiketi madereva na wamiliki wa magari mna kesi ya kuhujumu uchumi. afu mtaanza kulia lia mchangiwe

Kagimbo Lutahya 的头像
Kagimbo Lutahya2 天前

Uwezo wao wa kufikiri ndo unapokomea! Mfumo unaowafundisha umewajenga hivyo!

Tuchel. 的头像
Tuchel.2 天前

Hata uwe na degree ukishavaaa hizo gwanda akili unapaki pembeni..

Ally Sheha 的头像
Ally Sheha2 天前

Hii sio solution nahofia ikija saut yenye mamlaka zaid halaf inakuja rudisha plate number unajiskiaje? Busara inahitajika

M.B.G 的头像
M.B.G2 天前

Ndio naamin police ni mali ya sisiemu

ABD 的头像
ABD2 天前

Mali za Ccm zipo mzigoni

Abubakar Sadick 的头像
Abubakar Sadick2 天前

Sasa hilo ndio suruhu wa mgomo yaan kuna mijitu ya hovyp sana

Uncle John 的头像
Uncle John2 天前

Akili kisoda, gari ni ya mmiliki, inang'olewa no kwa kosa la dereva,basi kosabali anadai haki ya heshima kitaaluma. Kosala gari nini? Limekataa kujiendesha? @tanpol nmatumai nini kufikiri na kuamua? Ni akili hizhiz au wenzetu mnatumiaga nini🤔 nachooka mtoto wamkulima mimi🙌🙌🇹🇿

א ת 的头像
א ת2 天前

Ndo wanazidi kuharibu ..

The hustler 的头像
The hustler2 天前

Shida n kutumia force kila jambo

بو سالم 🇹🇿 的头像
بو سالم 🇹🇿2 天前

Wameamua kumwaga mboga

Thesa Kinga 的头像
Thesa Kinga2 天前

Hivi ndivo inavyokuwa pale mtawala asipokubalika kwa watawaliwa hutawala kwa viboko bunduki vfungo na harassment kama hizi, hata wakoloni walikuwa wanatumia mbinu hizi japo wao walikuwa wanawalinda sana watu wao si kama sisi wanaotakiwa kutulinda ndio wanatutenda mahasi.

Elangwa Elangwa 的头像
Elangwa Elangwa2 天前

Kazeni mmeshawashika pabaya atatoka aliewatuma ni suala la muda

Mwalim Akidic 的头像
Mwalim Akidic2 天前

LILILO GOMA GARI AU DEREVA?MATAJIRI WAKIIPELEKA MAHAKAMANI POLISI HASA IGP ITAKUWA POA SANA

NABOSI 的头像
NABOSI2 天前

Yani mmnashindwa kuwahimudu hao maccm wakati mmko nyomi ivo… acheni uoga, toeni discipline muheshimike.

ELR 的头像
ELR2 天前

Chuma zimegoma mamae. Polisi ccm hakuna mapato. NCHI imevalishwa dera #KATAA WAHUNI#

Eng Kevin 的头像
Eng Kevin2 天前

@DenisNdunguru14 Polisi kweli ni kazi ya wasio soma

Eng Kevin 的头像
Eng Kevin2 天前

@DenisNdunguru14 Uzuri magari sio ya madereva.

Legion 的头像
Legion2 天前

Wakitoa namba za mabasi yote, Kesho bibi kiziwi ataingiza mwendokasi kupeleka watu mbeya?? 🖕🏻

🇹🇿R4h🇮🇱 PhD 的头像
🇹🇿R4h🇮🇱 PhD2 天前

Unajua unaweza kuwa ulipata Div 0 lakini kuna zile akili ulizaliwa nazo, tumia hata hizo.

Irigo 的头像
Irigo2 天前

Dah💔💔

לוציפר 的头像
לוציפר2 天前

Hivi unaanza kuwa polisi kwanza ndo akili zifutike kichwani au unakosa akili ndo uwe polisi?

Ramzan Kadyrov 的头像
Ramzan Kadyrov2 天前

Safi sana

Nyari Tarabush 的头像
Nyari Tarabush2 天前

Huyu msando ni takataka

相关视频