Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Wananchiiiiiii..🏆🔰 #TheClubAboveAll #DaimaMbeleNyumaMwiko
11,164 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
9 Yorum

🐸🐸🐸

GSM anunue hili gari alafu Aviola fc wawe wanakodisha kwetu

Qmmk mna enjoy sana na sisi tunaumia sana miaka minne🤣🤣🤣🤣

@YoungAfricansSC 🫵🏿🔰

Ujinga kama huu ndio unaoligharimu taifa nakutengeneza masikini wakutosha yanga Simba ni kanza yataifa hili zinatakiwa zife Ili taifa liondokane nahuu upumbavu

🤲🏽🔰 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Exploring the magic of New York City with my family, soaking in the stunning views of the Manhattan Bridge! Together, we create memories that will last a lifetime.

Aliyekuwa kocha wa klabu ya Yanga Sc ya Tanzania, Miloud Hamdi (54) raia wa Algeria ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Ismaily Sc ya Nchini Misri kwa mkataba wa mwaka mmoja na chaguo la ongezeko la mwaka mmoja zaidi. Hamdi ameondoka Yanga Sc baada ya kuiongoza Yanga Sc kutwaa mataji matatu yakiwemo ubingwa Ligi Kuu bara, kombe la Shirikisho la CRDB (FA Cup) na kombe la Muungano kwa msimu wa 2024/25. #KitengeSports

Aisha is all set for season 25/26. 🇹🇿
