Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Wanaume kuna ujumbe wenu hapa 😂😂🔥🔥

67,369 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)

11 Yorum

CHASSIS NUMBER -NZDE120 profil fotoğrafı
CHASSIS NUMBER -NZDE1201 yıl önce

Nikiona video km hizi ndio napata maana kwamba ndoa ni taasisi ..na ndoa ni usenge Yaani inakuaje mtu anapata hela ashindwe kutumia na mume/familia yake mpka hela ya mwanaume ndio itumike hawa watu ni wabinafsi MNO 🫵

Bepari profil fotoğrafı
Bepari1 yıl önce

Mwanamke akishindwa kusema anajiuza anapitia mlango mwingne wa kuprovide

Holly Dayle profil fotoğrafı
Holly Dayle1 yıl önce

─── ⋆ ˖ . ݁𝜗𝜚. ݁ ₊ ⋆ ─── ⋆˚.⭒˚. ⋆ Moon River⋆⭒˚.⋆ ⋅˚₊‧ ୨HollyDayle cover୧ ‧₊˚ ⋅

Dlenzley profil fotoğrafı
Dlenzley1 yıl önce

Wanawake wa kisasa wapo direct kwenye kila jambo wao wanachagua mwanaume wa vip wanataka na wao ndio kama hivi anasema yeye milioni tano na jamaa anapata mbili yaani hajasema hata jamaa anapata laki nne yeye milioni tano kuna la kujivunza hapo

Idrīs Eid 挨衣 profil fotoğrafı
Idrīs Eid 挨衣1 yıl önce

Moja ya Sehemu 50/50 huwa hai-apply kwa wanawake ni hii. 🤣

chakaramu..🇹🇿 profil fotoğrafı
chakaramu..🇹🇿1 yıl önce

Chaganization 📌 Ukipata mshangazi wakichaga nikawaida sana kujikuta wewe ndio Baba

thatsdck profil fotoğrafı
thatsdck1 yıl önce

Ukweli mchungu huu ila ndo ukweli..

Fadhil Ndilla profil fotoğrafı
Fadhil Ndilla1 yıl önce

Huwa na wambia vijana watafute hela naoneka adui sema wewe

Matinde profil fotoğrafı
Matinde1 yıl önce

Una provide nn kama huna?

CAN be profil fotoğrafı
CAN be1 yıl önce

kama ni kwa mke yupo sahhihi

Mwanahawa's Son, profil fotoğrafı
Mwanahawa's Son,1 yıl önce

Mmmh! Ngumu kuishi na mwanamke aliyenizidi hela au shule. Muhafidhina mie

Benzer Videolar