Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
WANAUME WANATAKA VYOTE🤣!
20,543 Aufrufe • vor 2 Jahren •via X (Twitter)
10 Kommentare

Part2 🤣🤣

Ndio maana akinasie tunaoa mpaka wanne lkn bado hawatoshi nyieee🤣🙌

Ukweli ni kwamba tactical wanawake wenyewe choo wengi wao sio material ni 3/10 Ndio when it’s come to marriage hautakiwi kuangalia ivyo vitu ishu nin UTU (akili ya uyo mhusika) ambacho hakuna kwa wadada wengi % kubwa wanafeli Ndio maana leo mastar wengi bongo wanaishia kichezewa

Ila B lebo,eti tunapanga vyoteee hiki, huu, hhhhaaa😂😂

@NguvuYaUpepo 😂. Usichoke mwanangu

Exactly

Na ndo maana imani inataka tuoe wanne ni kwasababu tunataka vyote, that's a nature!

Wanaume wengi wao tamaaa

Kuna watu Wana zini sana kwa kujifanya wao ni wa mke mmoja,Ki ukweli ukiwa na wake wanne na Uwezo wa kuwahudumia upo na wao wame tulia ni Raha sana,Yaani kama watoto flani hivi.

Msambwanda una onekana sana na watu wengi na Moja ya vitu wanaume hatupendi ni kujua demu wako watu wengi Wana muwania.
Ähnliche Videos
Sensitive content
Zawadi ambazo wanaume hawazitaki, wamezichoka
Neypaul🤎
63,427 Aufrufe • vor 1 Jahr
Sensitive content
Wanaume njooni hapa!!🙌
Masaki
124,924 Aufrufe • vor 1 Jahr

