Loading video...
Video Failed to Load
Wanayanga wenzangu Msemaji hapa hakuna ๐
10 Comments

Huyu sio mwanayanga, akili kazitoa wapi ? Pale Yanga wenye akili ni wawili tu

Hatuna msemaji kwa kweli .Fact

Kwaiyo kwa akili zako unakaa unajadili hiyo kauli tena hasa kwa wasemaji wa hizi team .......sasa wew na yeye nani anakua hana akili ebu kueni seriously bhana

TATINZO liliazia kwenye miwani hyo akivua ataongea vnzr follow @AgrinMsuya2

๐ ๐

We jamaa sio Yanga wewe ni Simba shutuka Hakuna means yanga ana akili kama za kwako

Hii imeenda.

Sema aloanzisha huu mjadala ashajua kuwa ukitaka kwenda mjini useme upande mmoja mwengine utakusapoti tu.

Kamwe akili anazo kwa waliomfuatilia kabla hajawa msemaji Yanga, ila njaa hizi ndo zinawafanya wawehuke. Sahivi wanaongea pumba tu kwa sababu asilimia kubwa ya mashabiki ni viazi na ndo tambo wanapenda kusikia.

Huyu so mwana yanga toto la msimbazi kabisa mitaa ya kariakoo๐
Related Videos
Comrades wenzangu wa Egerton fikeni hapa niwasho๐คญโค๏ธ
Na-eun(๋์)
122,269 views โข 1 year ago
