Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Wangapi Tayari kwa mission ya 5/8/2024? Tuko pamoja

30,704 views • 2 years ago •via X (Twitter)

10 Comments

Pam Belinda 🥇's profile picture
Pam Belinda 🥇2 years ago

What is the agenda..? Wasije wakawa wanaiga mambo ya jirani.. wakati wao hawajui chochote kuhusu Nchi yao. Wenzao wanajua KATIBA ya Nchi yao, na mifumo yote. Hawa hawajui hata BAJETI ya Nchi ni nini. Na walikuwa wapi wasijadili Bajeti na Finance Bill 2024..?! I don't get it 🙌🏻

Balozi wa Kibondo's profile picture
Balozi wa Kibondo2 years ago

nimetambua watanzania wengi ni maiti zilizooza means hazitaki kudai haki zao kwa sababu wamekufa. Uoga hata siku moja hauwezi kuleta mabadiliko.

Arnold_Baba_Jenny 🇹🇿 |NIT alumnus|'s profile picture
Arnold_Baba_Jenny 🇹🇿 |NIT alumnus|2 years ago

Unakijua kipigo cha mbwa koko ww

anold's profile picture
anold2 years ago

Mwenge ukipita tu tumeisha

White Eagle Tipster's profile picture
White Eagle Tipster2 years ago

Ajenda ni ipi ya kuwapeleka watu barabarani

kebby macfad's profile picture
kebby macfad2 years ago

Hatutaki fujo,pumbavu

Denice Tumaini's profile picture
Denice Tumaini2 years ago

Tupo tiya ila wewe na Onesmo Mushi muwe pale mbele sisi tuje nyuma yenu

Fadher d's profile picture
Fadher d2 years ago

Mapema sana kuna vitu vinafeli sababu watu hawasomi alama za nyakati,kuna wakati kuna mambo yanamgusa kila mtu.

Balozi wa Kibondo's profile picture
Balozi wa Kibondo2 years ago

MAITI, MAITI , MAITI Zimejaa Tanzania haziwezi kuamka kudai haki

220 KV's profile picture
220 KV2 years ago

Kwenye maandamano sikuungi mkono. Hii mission yenu haitafanikiwa, watu waache kujitafutia maisha waende kujitafutia kifo!!!!?

Related Videos