Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

"Wasiojulikana WAMEJULIKANA".

16,151 görüntüleme • 9 ay önce •via X (Twitter)

7 Yorum

OnLeT profil fotoğrafı
OnLeT9 ay önce

mimi binafsi nahafamu kuwa "wasio julikana" ni polisi toka enzi za Magufuli

Mdunguaji profil fotoğrafı
Mdunguaji9 ay önce

Wenye akili timamu tulishajuwa kitambo sana kama Wasiojulikana ni Polisi chini ya usimamizi wa Wambura,Muliro,Kingai,Awadhi na Mafwele

Gasper Millanzi profil fotoğrafı
Gasper Millanzi9 ay önce

wauaji

Slim Daddy profil fotoğrafı
Slim Daddy9 ay önce

@MariaSTsehai Nawaza kwa sauti,, ",,hawa watu wasioujulikana ndiyo hawa hawa waliomuacha huyu jamaa kuwa hai mpaka kuweza kupost hii clip?, au wapi wengine ambao wako ndiyo hukamata na kuua?"

KENNEDY OBUYE profil fotoğrafı
KENNEDY OBUYE9 ay önce

@mwigulunchemba1 unaenda Kanisani kufanya ni nini? @tanpol

Collins profil fotoğrafı
Collins9 ay önce

Nahuo ndio ukweli watu wengine wanaogopa eti kusema kuwa utaambjws utoe udhibitisho ukweli nihuo ndio watekaji na ndio wanaua watu

Saumu Yanga profil fotoğrafı
Saumu Yanga9 ay önce

@Sativa255 TUTAKUEPO👉

Benzer Videolar