Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
watu wapo mbele ya mda😁😂😂😂
39,788 просмотров • 2 дней назад •via X (Twitter)
Комментарии: 39

🤣🤣🤣 @JideJaydee mi nahitaji mtaji wa grocery mil 10. Na utanikopesha. Uchague nikishakulipa mahusiano yaishe. Au nisikulipe mahusiano yadumu.

@JideJaydee 😂😂😂

Mimi huwa nasema siku nikipata mwanaume wa kuniomba hata elfu kumi nitascreenshot ile meseji yake nachukua na picha yake naenda kutoa copy pisi 200 nawalipa wale vijana wanaobandika kwenye msitimu waanzie mtaa anaoishi wabandike kila mahala na kila wilaya wabandike

Kwa nini mfanye hivyo kijana Huenda kuna jambo fulani analohitaji umsaidie, na pengine anaona kipato chako ni kikubwa Usihukumu haraka kabla hujajua sababu yake

Huyo ni mpigaji halafu hana akili huwezi kuomba besa kwa mwanamke kirahisi namna hiyo mwanamke anatakiwa aonyeshwe mapenzi ya kweli hayo mengine yatakuja yenyewe

Noma San

50M

Ndio

Atoe hela ya mtaji kwa kijana aache kelele

😂😂😂

Muda ni mchache 😂😂😂

😂😂😂😂

Labda jamaa alimaanisha Titis

😂😂😂

Sasa mtu kama kaona mgodi😅😅😅

😂😂😂

Nataka nimuoe binti yake.

😂😂😂

😁😁😁

😂😂😂

Huyo jamaa jasir unaomba mtaji kwa mwanamke? 50mil pesa nyingi sana kuanzia biashara huwez toboa

😂😂😂

Wasije wakawa ndugu zangu akina @3ea87c4178354e6 😃😃😃

@3ea87c4178354e6 😂😂😂

😂😂😂kmmk

😂😂😂

Huyu ni jide ?

Si bora hiyo millions 50 tuiweke hapa kwenye tairi wakuu

Hakika

Huyo ndio anaakili ya biashara hataki kudeti kupotezeana muda anataka mahusuano yenye tija na biashara ndani yake

😂😂😂

Asa wewe si Tajiri na Mtu maarufu af anasimamia ukucha Mbona nyie mnaombaga simu na gari 🤷🏾♂️😂

😂😂😂😂

Ni umekutana mpambanaji

😂😂😂

@JideJaydee anataka akimbizane na mvua za tabia nchi, hazina fomlula matikiti yasije kuozea kwa shamba

Hapo Hakuna Mfanya Biashara 😂😂😂😂

@mzeewakaliua acha basi hizo 50m tikiti,ama matikiti gani?

Komando kayavagaa😀😀
