Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
We had been warned
63,918 Aufrufe โข vor 11 Monaten โขvia X (Twitter)
26 Kommentare

Mafundisho ya Kiislamu kwa ujumla hurejelea hadithi kadhaa zinazopendekeza kwamba wanawake hawapaswi kushikilia nafasi za uongozi juu ya wanaume, ikiwa ni pamoja na kauli ya Mtume Muhammad (SAW) kwamba "kamwe taifa linalomfanya mwanamke kuwa mtawala wao halitafanikiwa."

Huyu sheikh Ana chuki na uislam anamshambulia rais kisa ni mwislamu na anatokea zanzibar ,hii haikubaliki

Kweli sasa kauza tanganyika kwa mseveni bukoba huko ili asaidiwe kuja kuua yeye aongoze huu ni udhaifu sana

๐ hii ataikana

inategemea na mwanamke mbona nchi nyingn huko kuna kina Queen elizabeth na zinasonga tuh

Masha'Allah ustadh hii ndio uislam ulivyotufundisha

@grok which Hadith or quran verse prove this

Sheikh Allah akulindeโค๏ธ๐

Huyu ashalamba gahawa, na yule mufti zuber๐๐

Ukweli tupu

Mbaya zaidi mtoa onyo nae kwa sasa kapiga u turn moja kali sana

Hii nkwel kabsa

Ukweli mtupu๐ค๐พ

Only one Lady... Naam Golda Meir the Iron Lady.

Juu yake yuko Kiwete

Hiyo ahitaji maelezo mana ukiachilia mbali falisfa za kidini nature ya kibinadamu ndivo ilivo

Mbona ghafla sana

@MariaSTsehai @Sativa255 @mangekimambi tulionywa mapema

Mnafki tu

Hawa si ndo walisema tumuache samia leo wameona hawezi? Mwanamke kuwa rais inawezekana na amani ikawepo mbona Ethiopia rais wao ni mwanamke na nchi ina maendeleo vibaya mno yaani hadi me nikishangaa kama inaongozwa na mwanamke yaani uchumi wa ethiopia hii Tanzania ikasome

๐คจ

Amina shekhee

Hata mwanaume anaweza kuwa dictator. Watanzania hawapingani na jinsia, wanapingana na dictator!

Me kama mwanamke I agree

Maandiko yanasema

Hii kesi si ya uhaini kabisa ase



