Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Welcome to Tanzania ๐๐๐๐๐ซด
127,197 Aufrufe โข vor 1 Tag โขvia X (Twitter)
29 Kommentare

Ukimkuta kwenye kijiwe cha kahawa anavyo ibagaza serikali sasa ๐

Mzee anasikiliza nini? Mziki unatokea hapo!๐

Pana spika ๐๐ซด

Mzee anajuta kuzeeka, haamini kabisa macho yake๐๐

Ndiyo maan nisiachiagi siti๐

Huyo ndio @jwise017 hapo ni nanganga ๐

@jwise017 ๐๐

Huyu babu yangu @jwise017

Huyu najiona mm kbsaa nikizeeka

Ukiskia "hata wahuni wanazeeka" ndo huyu๐คฃ

Duh ๐๐๐คฃ

Wale Jamaa....Palee ni watoto Ni Huzuni๐ฅฒ

Mwanamke wa hivi hukuti anagombania kubadili hati ya Nyumba ya mumewe..

ni kudebweleshaaa tu

huyu mzee kama unamkuta kwenye kijiwe cha kahawa anavyochambua siasa sasa

Sababu za Mzee wa kwanini hajajenga....

๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ

sasa mzee anaskiliza nini?

๐๐

๐๐

Muhuni kuzeeka na uhuni wake

Wazee wa hovyo ๐๐๐

lissu ana kazi kubwa sana mamae

Mhuni wa zamani

@lilduval

๐คฃ๐คฃ

Vijana wa hovyo wakizeeka ๐คฃ๐คฃ

๐๐๐

Huyu mzee anatamani miaka haata 2 irudi nyuma
