Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Welcome to Tanzania 😂😂😂😂🫴
127,197 просмотров • 1 день назад •via X (Twitter)
Комментарии: 29

Ukimkuta kwenye kijiwe cha kahawa anavyo ibagaza serikali sasa 😂

Mzee anasikiliza nini? Mziki unatokea hapo!😄

Pana spika 😂🫴

Mzee anajuta kuzeeka, haamini kabisa macho yake😁😂

Ndiyo maan nisiachiagi siti😂

Huyo ndio @jwise017 hapo ni nanganga 😂

@jwise017 😂😂

Huyu babu yangu @jwise017

Huyu najiona mm kbsaa nikizeeka

Ukiskia "hata wahuni wanazeeka" ndo huyu🤣

Duh 😂😂🤣

Wale Jamaa....Palee ni watoto Ni Huzuni🥲

Mwanamke wa hivi hukuti anagombania kubadili hati ya Nyumba ya mumewe..

ni kudebweleshaaa tu

huyu mzee kama unamkuta kwenye kijiwe cha kahawa anavyochambua siasa sasa

Sababu za Mzee wa kwanini hajajenga....

🤣🤣🤣🤣🤣🤣

sasa mzee anaskiliza nini?

😂😂

😂😂

Muhuni kuzeeka na uhuni wake

Wazee wa hovyo 😂😂😂

lissu ana kazi kubwa sana mamae

Mhuni wa zamani

@lilduval

🤣🤣

Vijana wa hovyo wakizeeka 🤣🤣

😂😂😂

Huyu mzee anatamani miaka haata 2 irudi nyuma
