Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Wengine wanasema...

21,520 views • 1 year ago •via X (Twitter)

5 Comments

Latto 𝕏's profile picture
Latto 𝕏1 year ago

Kumekuwa na Maneno ya watu, Wakisema kuwa Mr. Nice kafirisika, Haya ndio majibu yake kuhusu maneno yao.. Video kwa Comments 👇

Abuu terry's profile picture
Abuu terry1 year ago

Naona jamaa anajifanya mkenya kabisa😃😍

SAINT WEST's profile picture
SAINT WEST1 year ago

naona pete la firimasoniiiii😃😃😃

Gilya X's profile picture
Gilya X1 year ago

@NduluSamwel freemason ring

Use_Brain's profile picture
Use_Brain1 year ago

Kwahyo kiswahili kinampa shida et?

Related Videos

“Kila siku mnazungumza mnadanganywa, ni hivi mazungumzo katika mambo ya Kijamii upende usipende ni lazima, niwape mfano, leo Mashariki ya Kati, Israel wanapiga na Palestina na Hezbollah, Watu kwa mamia wanauawa lakini wakati vita inaendelea kule Qatar kuna mazungumzo namna ya kumaliza vita, Ukraine na Russia wanapigana mwaka wa pili unaisha lakini mazungumzo ya kumaliza vita yanaendelea, kwahiyo mazungumzo wakati mnapigana ni kawaida kwenye Siasa, hata wewe na Mkeo mnachuuzana, mtafaruku ni sehemu ya Ubinadamu wetu” “Kuhusu swali kwamba kuna mvutano na Makamu wako (Lissu) anagombea Uenyekiti na kuna Mgombea mwingine na je, nitagombea?, Chama hiki hakijawahi kumnyima Mtu yoyote nafasi ya kugombea na anayesema Mbowe unagombea mwenyewe ananionea sijawahi kugombea mwenyewe wala sijawahi kumzuia Mtu kugombea” “Chama hiki hakijawahi kuwa na utaratibu wa kutoa fomu moja ya Mgombea ambaye ni Mwenyekiti kama wanavyofanya CCM, kwenye mitandao ya kijamii Makamu wangu anapiga vita, inawezekana anapigwa vita Mimi je?, wote tunapigwa vita, Mbowe anapigwa vita, Lissu anapigwa vita,Mnyika anapigwa vita, yeye anategemea CCM watupatanishe Mimi na Lissu?” “Kuhusu kuwa Mimi sijasema nagombea si msubiri muda useme, vitu vingine vinapikwa ndani jamani viacheni vipikwe viive, wengine wanasema Mbowe umekaa sana miaka 20, hivi miaka 20 ya kukomaa, ebu wewe jaribu kukomaa kwa miaka 20 fanya kazi yangu uone ngoma yako itakavyokuwa , wengine wanasema hata Nyerere aling’atuka, Nyerere alikuwa Mtumishi wa Umma, analipwa mshahara, hafungwi, hanyanga’anywi mali, anatukuzwa , anaishi nyumba za Umma, sisi wa CHADEMA wote hawa wanajitolea, wanasema Mbowe ondoka, watakaoniambia Mbowe ondoka Wanachadema hawa na Viongozi wangu hawa, tutaelewana ugomvi wa ndani yanawahusu nini!?, Mimi nashangaa mitandaoni Watu wapo nje, pilipili usioila yakuwashia nini?, ebu tuachieni CHADEMA yetu tutaipanga kwa kadri tunavyopenda ndani ya CHADEMA , kuna Watu wanatamani kuona CHADEMA tunagombana, mtasubiri sana” “Hii ngoma nimeipiga miaka 33 non stop na sina mpango wa kuacha ngoma hii, yaani hii ngoma napigana nayo, hatutaki biashara ya kustaafu Siasa wakati uonevu unaendelea katika Taifa hili, unaniambia nikastaafu tunayoyapigania yametimia?, mnawaambia Wastaafu kwasababu unaona fulani amechoka yaani Mimi Mbowe nimechoka?, muangalieni Rais Mstaafu ana miaka mingapi na Mbowe nina miaka mingapi? — Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akiongea Dar es salaam leo December 10,2024 #MillardAyoUPDATES

millardayo

24,055 views • 1 year ago