正在加载视频...
视频加载失败
We've seen this before.
10 条评论

Spana & V.A.R Movement1 年前
Nilisema jana, hata ile ya 5 Job alitoa mpira nje mapema tuu. Watakuambia uchawi wakati hawaelewi 😂

N I N J A1 年前
😂 hawaelewi hizi

Billy1 年前
Nyie zetu ni za maelekezo ya sangoma 😂😂

N I N J A1 年前
Acha shirki msenge 😂

Ayubu Hinjo1 年前
Unaambiwa hiyo mechi ingechezwa mpaka leo, hakuna goli lingefungwa 😂

N I N J A1 年前
Mpaka muda huu beno angeendelea kufanya saves tu😂

James Munisi1 年前
💨 Saa hii mkitoa na sisi tunatoa 😂

Malafyale1 年前
Hiyo ndiki tulikuwa hoi kabisa ila bomba lilishikiliwa sio poa

the ORCHESTRATOR.1 年前
Hii sio kwamba ni Bizarre🤣🤣

N I N J A1 年前
Plans hzo 😂





