Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

66,577 görüntüleme • 7 ay önce •via X (Twitter)

0 Yorum

Yorum bulunmuyor

Orijinal gönderinin yorumları burada görünecek

Benzer Videolar

VIDEO: Kufuatia uwepo wa taarifa ya kwamba Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Msajili wa Vyama vya Siasa ametengua uteuzi wa vigogo wanane (8) wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA Chadema Tanzania) waliokuwa wameteuliwa na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu Tundu Antiphas Lissu na kisha kuthibitishwa na Baraza Kuu la Januari 22.2025, Wakili Maduhu William kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC LHRC) ameeleza kushangazwa na hatua hiyo aliyoitaja kuwa kinyume cha sheria Akihojiwa na Jambo TV, Wakili Maduhu amesema kwa mujibu wa sheria, Msajili wa Vyama vya Siasa ni mlezi wa Vyama vya Siasa na kwamba hana mamlaka ya kisheria ya kuingilia shughuli za ndani ya vyama, kuteua au kutengua uteuzi wa kiongozi yeyote wa chama chochote cha siasa Wakili Maduhu ameenda mbali zaidi kwa kudai kuwa hata yule aliyepeleka suala hilo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa alikosea badala yake alipaswa kufuata taratibu za ndani ya chama chao na kama bado angeona hajatendewa haki ni vyema angekimbilia Mahakamani Ikumbukwe kuwa, viongozi wa CHADEMA wanaotajwa kutenguliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa ni Wajumbe wa Kamati Kuu Godbless Lema Godbless E.J. Lema, Salma Kasanzu, Sheikh Hafidh Ali Saleh, Rose Mayemba Rose Mayemba na Dkt. Rugemeleza Nshala Rugemeleza Nshala (ambaye pia aliteuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA), na Wajumbe wa Sekretarieti watatu (3) wakiongozwa na Katibu Mkuu John Mnyika MNYIKA John John, Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara Amani Golugwa Amani Golugwa na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Wakili Ali Ibrahim

Jambo TV

22,447 görüntüleme • 1 yıl önce