Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
WINGA WA SIASA...
66,618 görüntüleme • 10 ay önce •via X (Twitter)
34 Yorum

Martin hii ungepost asubuhi, saiz unasababisha tucheke kwa nguvu na ni usiku😂😂

Jamaa alikuwa heavy sana ktk siasa za nchi hii, alikuwa na kijiji. Sasa hivi anazidiwa na Tunsu umuhimu ktk harakati za ukombozi. Totally disappointed in him.

Yuko nje ya nchi MWANDIGA hajapata Taarifa za watanganyika kufa. Ngoja tumsubiri akitoa kichwa tunakikanyaga

Naona leo unaruka nae kisawasawa!!!!! Nahisi utakuwa ndio mwisho wake kisiasa sioni mahali popote akiinuka tena kwenye siasa

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na utashangaa atavyokuja na singo za marithiano. Waovu hawanaga aibu🫢🫢

Zitto baada ya baba levo kushinda..😂😂

KIBISAWALA wa Siasa. 😂😂

Alikuwaga anasema eti 2025 bada ya Magufuli basi ni yeye atakaye kuwa raisi wa TZ,Sasa ona ubunge wenyewe kashindwa na chawa tena tofauti ya kura 16k( hiyo idadi ya wapiga kula ya majimbo km 10 kule visiwani

Anaweza tu kulinda Matako yake

Huwa mzuri sana akiwa anatokea pembeni!

Tapeli la siasa maccm yalimla kichwa baba levo akatamba kaangusha mbutu dadeki

zittto ashatoboa wajinga ni haoo wanaomsikiliza nakufuata,kutiii na kushangilia anachokiongea winga wa siasa

Ahaa huyu kweli dalali wa kisiasa. Niombe ACT wamfukuze aje kwetu CCM🤑

Ana Tena ushawishi masikini ya Mungu njaa imemvua heshima yote

Na alivyokomaa USO kama gari la maji taka

UCHIZI VUNGA Wa Politics

DALALI LA KIMATAIFA.

Kuna mchongo anasikilizia wakitangaza tu yumo😂

Kwenye lindo lake mwenyewe kashindwa kulinda kura ameibiwaa 😂😂😂😂😂 na lindo alikuepo mwenyewe😂😂😂

Wingaaaa ok sawa lakini mimi nafikiri akichezeshwa kiongo mshambuliaji atafiti zaidi. Ngoja tuzike wenetu kwanza

kaka zito mikwala mingi vitendo zero 🤣🤣watu wakigoma wameona bora wapeleke chawa harisi kuliko chawa ndumila kuwili

Hawa ndiyo wanatuchelewesha madalali 🚮🚮🚮

Dalali wa siasa kafika moja na mbili😂

😔😔😔

Eshomu kazi za watu uyu sio wings uyu nitapeli.

WINGA KM WINGA🤣

@mrembo_og Mkuu tumelinda kura sana ila kura zetu hazija tosha na wametudhulumu “viti maalum” vyetu 🥹

Watanzania tunadharaurika sana, kwamba hatuna akili kiasi cha kuamini yaliyozungumzwa na huyu dalali?

Mwamba anakula mafao yake saizi😅😅😅

Aliahidi kulinda kura mwisho wasiku wakapita na za kwake🤣🤣🤣🤣

Mpuuzi huyu alisema atalinda kura, sasa kibarabara kamfyeka miguu chalii wang!

Hii vita ni kama ya Lemutuz na Mange. Mbwai mbwai yaani

Mhuni hasusiwi😅

Hatutakubali... Hatutakubaliii.... Hatutakubalii.😂😂😂😂😂🚮🚮🚮

