Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Woke up to this ๐Ÿฅฒ๐Ÿ’”

115,946 views โ€ข 2 years ago โ€ขvia X (Twitter)

9 Comments

Speak it out daily ๐Ÿ””๐Ÿ””๐Ÿ””๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ's profile picture
Speak it out daily ๐Ÿ””๐Ÿ””๐Ÿ””๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ2 years ago

@Paul_Sweezy1 Huyu Mzee alikuwa sawa ktk utendaji ambacho sikukubaliana nae ni issue ya demokrasia na wakosoaji ktk mambo fulani fulani alifeli 100%, kiutendaji Magu nilimkubali shida ni vile hakuheshimu misingi ya Demokrasia tuโœ๏ธ

ZUNGU's profile picture
ZUNGU2 years ago

"Wiki 3 watu wasubiri kupata umeme pale na wakati umeshazalishwa" Rest easy Jiwe ๐Ÿ•Š๏ธ

Revo de mamilo's profile picture
Revo de mamilo2 years ago

Once upon a time tulikua na kiongozi Bora sana Rest easy Mr President

mc_chard's profile picture
mc_chard2 years ago

Kwa hiyo watenda miujiza wooote hawa walishindwa kufunga hata mwaka mzima hiki chuma kikafufuka?

Blessed Tillah (MBARIKIWA)'s profile picture
Blessed Tillah (MBARIKIWA)2 years ago

๐Ÿ˜๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

Mkubily๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ's profile picture
Mkubily๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ2 years ago

@ercurry_Tz Huyu mwamba alikua commited sana na maisha ya watu sio hawa wa siku hiz

๐‡ ๐” ๐† ๐Ž๐“…ซ's profile picture
๐‡ ๐” ๐† ๐Ž๐“…ซ2 years ago

Tanesco wanachokifanya sasa sio sawa,hamna kitu cha muhimu kama taarifa tena zinazoeleweka,ss hatujakataa mgao,ila mgao unakuwa kama mtu anazima na kuwasha taa ya chooni,no ratiba,no info no sababu za kuwa na mgao ndio maana tunaumia

Mgodi Snr's profile picture
Mgodi Snr2 years ago

Kumamakkk hii clip na yanayoendelea unaweza ukalia

LilCrvsh๐Ÿฆ‹'s profile picture
LilCrvsh๐Ÿฆ‹2 years ago

Wiki 3 mwendazake aliona ni mbali ila kuna mmama ametoa miezi 6 huku!!

Related Videos