正在加载视频...
视频加载失败
Woke up to this 🥲💔
115,956 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)
9 条评论

@Paul_Sweezy1 Huyu Mzee alikuwa sawa ktk utendaji ambacho sikukubaliana nae ni issue ya demokrasia na wakosoaji ktk mambo fulani fulani alifeli 100%, kiutendaji Magu nilimkubali shida ni vile hakuheshimu misingi ya Demokrasia tu✍️

"Wiki 3 watu wasubiri kupata umeme pale na wakati umeshazalishwa" Rest easy Jiwe 🕊️

Once upon a time tulikua na kiongozi Bora sana Rest easy Mr President

Kwa hiyo watenda miujiza wooote hawa walishindwa kufunga hata mwaka mzima hiki chuma kikafufuka?

😁🙌🏾

@ercurry_Tz Huyu mwamba alikua commited sana na maisha ya watu sio hawa wa siku hiz

Tanesco wanachokifanya sasa sio sawa,hamna kitu cha muhimu kama taarifa tena zinazoeleweka,ss hatujakataa mgao,ila mgao unakuwa kama mtu anazima na kuwasha taa ya chooni,no ratiba,no info no sababu za kuwa na mgao ndio maana tunaumia

Kumamakkk hii clip na yanayoendelea unaweza ukalia

Wiki 3 mwendazake aliona ni mbali ila kuna mmama ametoa miezi 6 huku!!
相关视频
WOKE UP ON VICTORY MONDAY & CAN’T STOP WATCHING THIS PLAY 🥲
Tampa Bay Buccaneers
87,808 次观看 • 1 年前
Sensitive content
قلبم شکست 🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔
Amin
260,765 次观看 • 1 年前
