正在加载视频...
视频加载失败
Yaani kuna bash ya H.E Kitale na hamsemi🥹😪
14 条评论

🤣naambiwa RUTO amejam mbayaa , yani pesa yake ndio mnataka kupiga sherehe na Sifuna nayo… nunue pombe za jina mbili mbili !!!!!

People are enjoying Maokoto ya Mchana ya Ruto

Mimi sifuna akinidisappoint sijui nitafanya nini🤣🤣🤣aki i hope hatabadilika bana,juu hii itakuwa mbaya kudhinda my ex

K24 realizing they missed to livestream

Tears in my eyes 😭. We prayed for times like this. Wacha nisave kwa sherehe ya inauguration, itakua mwecheche

kumekuwa na sherehe huku kitale the whole afternoon running into the night😁

Sifuna meant akiangalia nyuma bado mtakua mnapiga support Hakusema mmfuate adi choo guys You are overdoing it😂

Hii energy haojaonekana Kenya na mtu mwingine hii mwaka,, 😂 ni Sifuna, Baba ama Ishowspeed pekee yake

Bulaaanda

People are gatekeeping adi bash ya mkuu😊sawa tu,karibu tunaeka yetu hapa archives na itakua mbaya🤨

Fb

God protect @edwinsifuna for us

Wueeeeeeeeeeeeeh. Na campaigns hazijaanza officially. God bless and protect Sifuna!

Naskia pesa ya Ruto ndio watu wamelewa nayo sana apo... wanafanya ki ol kalou
