正在加载视频...
视频加载失败
Yani hawa sio Raia...
11 条评论

Sikiliza Kilio cha wamachinga wa kitanzania Juu ya Wamachinga wa Kichina... Video kwa Comments 👇

Msikilize na Isack

Kwa upande upande wa consumers wa mwisho tunaona ni vzr fikiria mzigo ukipita kwenye mikono 10 thamani ya bidhaa inaongezeka mara 10 lakini ukipita kwa watu wawili thaman inakua chini, mifumo huwa inabadilika inabidi wakubali na wao kubadilika, hakuna mfumo unaodumu milele

wabongo acheni uoga nyie mnatupiga mabei... wamekuja wachina wanatuletea vitu kwa bei rahisi mnaanza kutaka waondoke... kwan mzigo si mnachukulia wote china?

Huyu aongea utumbo mtupu

Hizo ni chuki za kibaguzi kama zilivyo kwenye inchi za wajinga

Kuna wengine wapo horizon tower pale chochoroni!! Ni zaidi ya mwezi Sasa

Ukifatilia vizuri maelezo unaona wazi kwamba tunapigwa sana wanunuzi na hawa wabongo wenzetu

Sasa mikono kumi na kila mtu anataka apate 😂😂😂 mwisho wa siku tunapigwa wakati mchina yupo na anakufata mwenyewe

Alafu sauti yake inajulisha jamaa ni winger

Wachina washikilie hapohapo, hawa matapeli wametupiga sana. Mzigo unapita mikono 10 kila mtu anaongeza chake? Si wizi huo?

