Sensitive content

This media may contain sensitive content.

正在加载视频...

视频加载失败

24,965 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

0 条评论

暂无评论

原始帖子的评论将显示在这里

相关视频

umai tiktok suka basah basahan
0:20

Sensitive content

umai tiktok suka basah basahan

repost_cewe_cakep

130,785 次观看 • 3 个月前

Terekeme ————— #Çirak #OzanAkbaba
0:44

Sensitive content

Terekeme ————— #Çirak #OzanAkbaba

ann ❀

202,761 次观看 • 6 个月前

Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema endapo Muswada wa Maseneta wa Marekani uliowasilishwa kwenye Kamati ya Mambo ya Nje utapita unaweza kuleta athari katika ushirikiano wa Tanzania na Marekani. Akizungumza Bungeni Jijini Dodoma leo Mei 26, 2026 Bulaya amesema “niwaombea Mabalozi sisi Watanzania ambao Taifa letu huru tunajua sisi sio Kisiwa, tunajua tunatakiwa kushirikiana na Binadamu wengine wa Mataifa mbalimbali kwa faida ya Nchi yetu lakini vilevile na nyinyi mnapokuja kushirikiana na sisi kuna kitu mnakipata kwetu, tupo tayari kushirikiana na nyinyi lakini tupo tayari kuilinda Nchi yetu kwa wivu mkubwa kwasababu hatuna Nchi nyingine ni hii tutazilinda haki zetu kwelikweli” “Nilipitia muswada ambao umewasilishwa kwenye Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nchi za Nje hili ni jambo kubwa hatuzungumzii taarifa tunazungumzia muswada ambao ukipigiwa kura na Kamati unapelekwa Bunge la Seneti la Marekani inageuka kuwa sheria, natambua Tanzania tuna mahusiano ya kihistoria na Marekani na tutayalinda na sisi tutakuwa wa mwisho kuvunja mahusiano ya Kidiplomasia na Nchi yoyote” “Leo unasema unapeleka Muswada uwe Sheria kufuta Viza kwa Viongozi wa CCM ambao wengine ni Wahanga wa matukio hayo ambayo wao wanaya-refer Viongozi wa CCM, unazungumzia kuondoa Viza kwa Viongozi wa Ulinzi wa Nchi yetu ambao hawakuhojiwa popote, hawakupewa fursa kama Serikali kupitia Wizara husika kutoa statement ya Serikali kwenye kamati” “Hili sio jambo jema linataka kuharibu uhusiano wa Kidiplomasia kati ya Nchi yetu na Marekani, Mh. Waziri nina uhakika hawana taarifa sahihi wana taarifa za upande mmoja sisi hatuwezi kuhoji Vyombo vya Ulinzi wa Nchi zao”. Amesema Bulaya. #MillardAyoUPDATES

millardayo

39,592 次观看 • 27 天前