Sensitive content
This media may contain sensitive content.
Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Yesu hakufa....
35,001 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 11

Kuwa na Elimu Raha sana, Yani mtu hawezi akakwambia tu kitu, ujafuata bila kukifanyia uchambuzi Yakinifu. Haya, Sikiliza Sheikh anawafundisha wakristo juu ya Dini yao. Sikiliza kwanini Yesu, hafi kwa ajili ya Dhambi za wengine.. Video kwa Comments 👇

Mwenzenu katoa maandiko ninyi mnatukana bila ya kutoa maandiko mkapingana naye tujitahidi kusoma ili tuwe na uelewa zaid ktk dini zetu tusiwe warithi tu wa dini pasipokutaka kusikiliza ukweli tunaoambiwa

Na kama haiwezekani kwa Nini kuwepo na kumfuata/kumwamini mtu mmoja kwa ajili ya kwenda mbinguni. Eg Uislamu wote wanaamini kwa kufuata njia aliyoifuata Mohammad ndo wanawezakwenda mbinguni kwa Nini kila mtu asifuate njia ya kivyakevyake tu.

@EsirEid Huyo hana elim yoyote ile. Kitabu chake kimemuelekaza. Akae chini afundishwe na walio pewa kitabu mwanzo. Yeye ajadili mambo ya mwilini tu.

Alafu shehe anachukua vifungu vya biblia bila kujua msingi wake. Ikumbukwe ata ibilisi alimjaribu Yesu kwa kutumia biblia iyo iyo

Mafundisho ya uongo😂😂😂kumb la torati ilikua kabla ya kifo cha Yesu. Utabeba dhambi zako km ukiukataa uokovu. Sheikh ubwabwa kakaririshwa vifungu viwili tena mstari m1 m1 anakuja kuwadanganya wenzake !

Hiyo Yohana 8:21 hajaelewa kabsa YESU alikuwa ana maanisha nin, akitaka maana zaidi aendelee kusoma kuanzia mstari wa 22 na kuendelea ataelewa vizuri

Kila mtu ana weza kutafsiri maandika vile unataka..lakini itoshe kusema that was very poor reasoning..na ni wazi huwezi tafsiri andiko kwa mstari mmoja..hua tunawasamehe bure

Kuna mtu unamuangalia umri alioanao unaona kumtukana unamuacha tu

Ana upeo mdogo sana

@EsirEid Huyu ndio unamsemea kuwa ana akili...

