正在加载视频...

视频加载失败

You may think they aren't sleeping, but wanalala chini ya maji.

94,859 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

Jayurop🇰🇪 的头像
Jayurop🇰🇪1 年前

Mnisaidie number ya pedi wao. I want to try something

Troomy Nootropics 的头像
Troomy Nootropics1 年前

Melatonin + Reishi = Sleep mastered. Troomy Sleep helps you rest easy and wake up refreshed. 💤

Christah 的头像
Christah1 年前

Never expected this pun 😂

໊ 的头像
1 年前

underwater

BobAndrew 的头像
BobAndrew1 年前

Hawawezi fanya all this then niwanyime like

✨️🖤President Law🐐👑 的头像
✨️🖤President Law🐐👑1 年前

hawa ni content creators

🅜🅐🅝🅤 的头像
🅜🅐🅝🅤1 年前

They are having a good time

kipruto 的头像
kipruto1 年前

Hii ndio kucheza chini ya maji

CARETAKER🇰🇪 的头像
CARETAKER🇰🇪1 年前

Ogopa wakamba

Rinz _Tempo 🇰🇪™ 的头像
Rinz _Tempo 🇰🇪™1 年前

Ogopa😂

𝕿𝖗𝖎𝖕-𝖐𝖎𝖉 的头像
𝕿𝖗𝖎𝖕-𝖐𝖎𝖉1 年前

Kalii

相关视频

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemtaka Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA), Kiunga Kingu, akae pembeni ya majukumu yake kwa muda, pia amemsimamisha kazi, Mkurugenzi wa Uzalishaji na Usambazaji Maji-DAWASA, Shaban Mkwanywe na kuanzia leo June 30,2024 ameiweka DAWASA chini ya uangalizi maalum wa Wizara ya Maji ili kuboresha utendaji wake kufuatia uzembe uliopelekea visima kukosa maji na kufanya Wakazi wa Dar es salaam kukosa maji. Aweso ametangaza uamuzi huo leo baada ya kufanya ziara ya kimkakati na ya kushtukiza katika Ofisi za DAWASA zilizopo Ubungo Dar es salaam ili kupata maelezo ya Watendaji ya sababu za Watu kukosa maji na baada ya kushindwa kuridhishwa na majibu aliamua kuzungukia matanki ya maji katika maeneo manne tofauti ikiwemo tanki la Ardhi UDSM na Kibamba huku akituma Timu nyingine kwenda kukagua matanki ya Kigamboni ambapo imebainika matanki kadhaa hayana maji huku mengine yakiwa na maji kidogo ukilinganisha na mahitaji ya Wananchi lakini Watendaji wa DAWASA wameshindwa kueleza sababu iliyopelekea uhaba huo wa maji. Aweso amesema “Mwanzoni kulipokuwa kunakosekana maji tulikuwa tunasema shida ni vyanzo vya maji vimekauka hakuna maji, TANESCO umeme hamna lakini leo vyanzo vyote vina maji, umeme upo, niambieni kwanini hatuna maji kwenye matanki?, kwanini Wananchi wanateseka, wanalalamika wanapiga kelele kwenye Serikali, niiombe Bodi kama CEO DAWASA hajaenda likizo kidogo akakae likizo kwanza atuachie nafasi yetu tutaisimamia wenyewe” Ziara ya Aweso leo imekuja baada ya ziara ya Katibu Mkuu wa Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri aliyoifanya kwa siku mbili kujionea utendaji kazi wa DAWASA na hali ya upatikanaji wa maji Dar es salaam ambapo amebaini uzembe aliouwasilisha kwa Waziri Aweso leo ikiwemo miundombinu ya maji kuwa chakavu, maji kupotea bila usimamizi, Watendaji wa DAWASA wa ngazi za chini kutopewa stahiki zao muhimu na kupelekea kufanya kazi bila hamasa nzuri na hata kupelekea kuwajibu vibaya Wateja wa maji. #MillardAyoUPDATES

millardayo

66,035 次观看 • 2 年前