正在加载视频...
视频加载失败
Yule ana Baba yake...
10,095 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
12 条评论

Latto 𝕏1 年前
Mama, yake Gigy Money, Kasema kuwa, Wanae wote wanne kawapata kwa baba tofauti tofauti na wote kawalea mwenyewe.. Msikilize... Video kwa Comments 👇

The Notorious JayZ1 年前
kama jamii tuna shida mahali

300✌1 年前
We all know where gigy DNA came from

Solar Heavy1 年前
take the journey

Benizo1 年前
Hamna mama hapo

chapchap1 年前
Malezi ni kila kitu maishani

ENG.kontawa.PhD..Msc...MD...Prof...1 年前
Mama mwenyewe tatizo wanawake msipende kujifanya mnaweza kubeba majukumu ya wanaume mtafeli tu

𝙓𝙨1 年前
Oh no 👀

Mgana1 年前
Like mother like daughter

ZOMBIE1 年前
Aah kubabake, kama Maza mwenyewe yuko hivi tusimshangae Gigy kwa anayo yafanya, DNA mbovu imetokea hapa

senior1 年前
Hahaaha nabaki nacheka tuu

black hole ulimwengu1 年前
Nyoka anazaa nyoka mwenye sumu ile ile .
相关视频

3:07
Sensitive content
Ndeke ya Muthanga yule anadance kama msenge alikujia 200k yake jana but mimi nilishindwa kutingisha kitimbaa kama msenge nikatingisha tumbo.
Mike Sonko
337,529 次观看 • 1 年前
