ๆญฃๅจๅ ่ฝฝ่ง้ข...
่ง้ขๅ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ
๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ฐ๐ซถ๐ฝ #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
59,141 ๆฌก่ง็ โข 2 ๅนดๅ โขvia X (Twitter)
10 ๆก่ฏ่ฎบ

Kiukweli watu wa Digital wa Yanga hatuwadai ๐๐๐ฅ๐ฅ

HATUWADAI VIONGOZI, BENCHI LA UFUNDI NA WACHEZAJI. KILA MTU AFRIKA AMEONA NA DUNIA IMEONA. Next Time Watatueleza Lile Goli Walilipeleka Wapi In Sha Allah ๐๐๐๐ฐ๐ฐ๐

A leading by example Congratulations Wananchi, Proud of you Guys

Ili ni jeshi zaidi ya walivyojichukulia mamelod siyo rahisi kuamini lakn ukwel ni kwamba kuna vijana wapambanaji waliovamuwa kujitoa kutoka mioyoni mwao kwasbbu ya team Mungu awabariki sanaaa ata kama siyo iiii leo ya jonzi na simanzi lakn kesho Mungu atatubarik

Mmeupa mchezo wa mpira wa miguu heshima Nchini Mwaka jana Finals, mwaka huu Quater Finals hakika safari bado mbele yetu hakuna kukata tamaa. ALUTA CONTINUA๐ก๐ข

Huyu hersi huyu ๐๐๐anyway ccm wasije wakamsajili tu tunakazi bado tuna mdai pale jangwani Kuna vitu atukamilishie kwanza ๐ช๐ช๐ช๐ช

Hasira tulizonazo akikatiza kima yeyote mbele atakandwa ipasavyo,binafsi nna hasira na azam

Timu ya wananchi ๐ฅ

Mungu ni wetu sote, asiyeshukuru kwa kidogo, hata akipata zaidi hawezi kushukuru. Asante Mungu kwa kila kitu ๐๐๐๐๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐ฐ

๐๐๐
