ๆญฃๅจๅ ่ฝฝ่ง้ข...
่ง้ขๅ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ
๐๐๐ฅ๐ข๐ณ๐ ๐ฆ๐๐ก๐ข๐ญ๐๐ฃ๐ข ๐ฒ๐๐ค๐จ ๐ฒ๐ ๐ค๐ข๐๐๐ง๐ค๐ข ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐ ๐๐๐ ๐๐ข๐ ๐๐ง๐ฃ๐๐ง๐ข. Huna haja ya kwenda kwenye matawi yetu ili kufungua Akaunti ya NBC. Fungua Akaunti ya NBC mwenyewe kwenye NBC Kiganjani na uanze kufanya miamala hapo hapo.
593,523 ๆฌก่ง็ โข 1 ๅนดๅ โขvia X (Twitter)
0 ๆก่ฏ่ฎบ
ๆๆ ่ฏ่ฎบ
ๅๅงๅธๅญ็่ฏ่ฎบๅฐๆพ็คบๅจ่ฟ้
็ธๅ ณ่ง้ข
1:10
Sensitive content
Hiyo pichani ni moja kati ya nyumba 8 anazojenga Wambura, Mkuu wa Polisi Tanzania, 2 zimakamiliki 6 zinaendelea kujengwa. Nyumba zipo Goba kwa Ulomi Saleko Kiwesi street. Ndani huko kwenye compound kuna Mercedes Benz kali na Labd Cruiser, zote za bilionea Wambura zimepaki humo ndani. . Hiyo video ya pili, hiyo gari nyeusi hapo nje, huwa imepaki hapo 24/7. Polisi wanapeana shifti kulinda hapo. . Polisi anaowatuma kunyanyasa wananchi wanaishi kwenye vikota vya polisi, vijumba vinakaribia kuwadondokeaโฆ. . Sasa mkuu wa polisi anajilimbikizia mali kiasi hiki mtaacha kupigwa mkidai mabadiliko.? Mnadhani Wambura atakaa ahitajii mabadiliko na huku yeye anakula na mafisadi? Uongozi wa CCM unamnufaisha kiasi hiki unadhaani atataka CCM itolewe madarakani? Na nyumba zikikamlika atawapangisha wale wale anaowapiga viboko wasiandamane.
Mange Kimambi ๐น๐ฟ๐บ๐ธ
195,722 ๆฌก่ง็ โข 1 ๅนดๅ

