Loading video...
Video Failed to Load
๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐โบ๏ธ๐น๐ฟ #ZanzibarHakunaMatata
35,621 views โข 1 year ago โขvia X (Twitter)
11 Comments

Kufurahia mechi ya Simba kupelekwa Zanzibar hakukufanyi wewe kuepuka dhoruba tarehe 15 kutoka kwa Elie Mpanzu ๐๐๐

edm/dance/hiphop/downtempo

Bado naendelea kusema hii timu inaendeshwa kitoto sana ni kama wendawazimu Fulani hivi hovyo Kabisa

Pesa ya goli la mama tunachukua ila mpira kuchezwa kwa mama aaah!!!

Vile tunawachanganya cassava fc

Sisi raia wa Morocco tunakuja zanzibar tar 25๐๐

what a time to release the ad๐

Creativity ๐ฅ unapewa kazi unaitendea kazi saafi #visitzanzibar

Sawa tuonyeshane makali๐ #UbayaUbwela mtalia nawaambieni

Ngoja ni bookmark hizi tutazitumia tarehe 25 baada ya kuchukua ndoo

#VisitZanzibar Uone Timu iliyosajili #Nyota wengi #Wakimatifa na kuendeshwa kwa mabilioni ya Pesa wakishiriki ligi za #wasichana wa ndani tena hawashindi mpaka wawalipe magoli kipa haya ni maajabu.

