
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢
@Chahali • 222,494 subscribers
Editor, Ujasusi | Intelligence & Security Analysis • Former Tanzania Intelligence Officer | New Book: A Spy’s Guide To Deception👇
Shorts
Videos

Siku mkimuona #Jasusi anahangaika kuwathibitishia Watanzania kuwa anapigania maslahi yenu basi mjue ameshafikiwa na fungu la Abduli. Point is, mwanaharakati wa kweli anatambulika hata bila kufungua mdomo. Jasusi ataendelea kufanya harakati kivyake kwa sababu kuna kenge, chatu na mamba wengi kwenye huu msafara. Na ukijiroga kumuamini mtu kirahisi, utaishia mikononi mwa Abduli na waf*raji wake. Huhitaji kuwa na uelewa wa taaluma ya ujasusi kufahamu huyo kijana ameshachomesha watu wangapi. Kwahiyo, je utajuaje kuwa huyu mwenzetu au katumwa au keshapanda bei? That's a story for another day ☺️
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢25,367 views • 1 month ago

Guess what? Huyo Brigedia Jenerali Fabian Machemba alikuwa classmate wa #Jasusi huko Tabora Boys. Apparently, licha ya kuzalisha viongozi mbalimbali huko nyuma, Tabora Boys pia ilizalisha maafisa wengi wa Idara ya Usalama wa Taifa. Je Tabora Girls nayo ni hivyohivyo? Labda Miss Faith (@la_fe_ufoo) atatueleza ☺️ Lakini hiyo hadhi ya Tabora Boys ilikuwa kabla ajira za taasisi hiyo hazijakuwa kwa ajili ya ndugu, jamaa na marafiki wa vigogo PEKEE... na kwa kiasi flani YuViSiSiEmu. Back to aliyoeleza mdau, it's sad kwamba raslimali za kiintelijensia dhidi ya maadui HALISI wa Tanzania zinaishia kutumiwa dhidi ya Watanganyika wasio na hatia. Pengine huko mbeleni kutakuwa na umuhimu wa kuwapata watu wenye uzoefu/uelewa wa mambo hayo ya jeshi, polisi na hata intelijensia, yaani kama akina KAPTENI TESHA kuwaelimisha wananchi kuhusu jinsi ya kukabiliana na hao maharamia. Jasusi is always available lakini anatambua kuna wengi tu hawamuamini, so he understands akikwepwa 😢
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢27,090 views • 2 months ago

Dear Chadema, upole wenu ndio unawapa jeuri hawa wahuni wawachafue kila kukicha. Haitoshi kusema tu "ah huyu habibu mchange ni chawa wa Abduli" au flani kalipwa milioni mbili. #Jasusi anawasihi mjibidiishe kuwaadabisha hawa maharamia ili ifike mahala waogope kukihujumu chama chenu.
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢10,087 views • 1 month ago

Ile kozi ya bure ya akili mnemba itaanza siku chache zijazo. Ni muhimu sana kupata ujuzi wa akili mnemba japo kiduchu kwa sababu Mwaka huu 2026 utatawaliwa na vita vya habari ambapo kwa wasio na uelewa wa kutosha itakuwa vigumu kutofautisha kati ya fact vs matango pori. Enewei #Jasusi ameona wadau wengi wakihisi kuwa hiyo clip ya hotuba ya #Chinjachinja ni AI. Kwahiyo ili kujiridhisha, akaipandisha clip hilo #ChatGPT, na majibu ndo hayo baada ya hotuba ya chinjachinja. Na ChatGPT ipo vizuri sana kubaini kama picha au video ni halisi au fekero/famba. Cha muhimu zaidi ni asilimia ya uhalisi/ufeki. Again, majibu ya ChatGPT, sio ya Jasusi...in case hujayapenda.
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢31,580 views • 8 months ago

#Jasusi pia amesikia hili la SAMIA kuweweseka. Lakini hata bila kufahamu hilo, ile speech ya juzi imetoa clues kibao. Ofkoz, "watetezi" walisema alikuwa bwax lakini TBH there were signs of more serious problems. Is she medically fit kuongoza JMT? [That's a rhetorical question]
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢24,044 views • 9 months ago

It's true Abduli na Kitengo chake cha ovyo wanapanga kuwatumia YuViSiSiEmu kuharibu maandamano ya #D9
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢23,780 views • 9 months ago