
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢
@Chahali • 223,062 subscribers
Editor, Ujasusi | Intelligence & Security Analysis • Former Tanzania Intelligence Officer | New Book: SAKATA LA NCHIMBI 👇
Shorts
Videos

Samia ameua zaidi ya watu ELFU KUMI. Lakini as if that is not bad enough, ameunda hii tume ya mchongo ambayo kama ya Jaji Chande, itamsafisha lakini yenyewe itakwenda mbali zaidi na kuwataja watu mbalimbali kuwa ndio waliosababisha mauaji hayo. Kuua aue Samia, kesi wabambikiwe watu wasio na hatia 😡 Lakini Mungu hachezewi. Samia anaweza kuondoka hata kabla hiyo tume yake ya mchongo haijamaliza kazi.
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢15,850 просмотров • 9 дней назад

Siku mkimuona #Jasusi anahangaika kuwathibitishia Watanzania kuwa anapigania maslahi yenu basi mjue ameshafikiwa na fungu la Abduli. Point is, mwanaharakati wa kweli anatambulika hata bila kufungua mdomo. Jasusi ataendelea kufanya harakati kivyake kwa sababu kuna kenge, chatu na mamba wengi kwenye huu msafara. Na ukijiroga kumuamini mtu kirahisi, utaishia mikononi mwa Abduli na waf*raji wake. Huhitaji kuwa na uelewa wa taaluma ya ujasusi kufahamu huyo kijana ameshachomesha watu wangapi. Kwahiyo, je utajuaje kuwa huyu mwenzetu au katumwa au keshapanda bei? That's a story for another day ☺️
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢25,367 просмотров • 3 месяцев назад

Anaitwa Profesa Marcelina Chijoriga, Mkuu wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere. In case you are wondering, huyu ni profesa wa taaluma sio wa tunguri kama Prof Manyaunyau! Ndo maana #Jasusi aliachana na ndoto za kusaka uprofesa. It’s pretty much useless nowadays!
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢61,526 просмотров • 11 месяцев назад

Guess what? Huyo Brigedia Jenerali Fabian Machemba alikuwa classmate wa #Jasusi huko Tabora Boys. Apparently, licha ya kuzalisha viongozi mbalimbali huko nyuma, Tabora Boys pia ilizalisha maafisa wengi wa Idara ya Usalama wa Taifa. Je Tabora Girls nayo ni hivyohivyo? Labda Miss Faith (@la_fe_ufoo) atatueleza ☺️ Lakini hiyo hadhi ya Tabora Boys ilikuwa kabla ajira za taasisi hiyo hazijakuwa kwa ajili ya ndugu, jamaa na marafiki wa vigogo PEKEE... na kwa kiasi flani YuViSiSiEmu. Back to aliyoeleza mdau, it's sad kwamba raslimali za kiintelijensia dhidi ya maadui HALISI wa Tanzania zinaishia kutumiwa dhidi ya Watanganyika wasio na hatia. Pengine huko mbeleni kutakuwa na umuhimu wa kuwapata watu wenye uzoefu/uelewa wa mambo hayo ya jeshi, polisi na hata intelijensia, yaani kama akina KAPTENI TESHA kuwaelimisha wananchi kuhusu jinsi ya kukabiliana na hao maharamia. Jasusi is always available lakini anatambua kuna wengi tu hawamuamini, so he understands akikwepwa 😢
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢27,090 просмотров • 3 месяцев назад

#Jasusi bado anaamini kwamba kuna haja ifike mahala kabla mtu hajaamka na mning'inio wa chimpumu kisha akakurupuka na "mkutano na waandishi wa habari" kuisema ovyo Chadema, afikirie mara mbili. Akipewa kichapo mmoja, ujumbe utasambaa. Hata kwenye Biblia imeandikwa... Oh sijui imeandikwaje 😄 Japo #Jasusi ni muumini mtiifu wa AMANI lakini alishabaini kitambo kwamba mara nyingi tu amani haidondoki kama mvua, HULAZIMISHWA... kwa nguvu ikibidi.
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢13,087 просмотров • 2 месяцев назад

Ile kozi ya bure ya akili mnemba itaanza siku chache zijazo. Ni muhimu sana kupata ujuzi wa akili mnemba japo kiduchu kwa sababu Mwaka huu 2026 utatawaliwa na vita vya habari ambapo kwa wasio na uelewa wa kutosha itakuwa vigumu kutofautisha kati ya fact vs matango pori. Enewei #Jasusi ameona wadau wengi wakihisi kuwa hiyo clip ya hotuba ya #Chinjachinja ni AI. Kwahiyo ili kujiridhisha, akaipandisha clip hilo #ChatGPT, na majibu ndo hayo baada ya hotuba ya chinjachinja. Na ChatGPT ipo vizuri sana kubaini kama picha au video ni halisi au fekero/famba. Cha muhimu zaidi ni asilimia ya uhalisi/ufeki. Again, majibu ya ChatGPT, sio ya Jasusi...in case hujayapenda.
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢31,580 просмотров • 9 месяцев назад

Mtu mmoja anadai hii ni fiksi. Went further to confidently claim muda si mrefu Gwajiboy ataanza kuhubiri maridhiano
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢30,366 просмотров • 9 месяцев назад